TUENDELEE KUYAISHI TULIYOJIFUNZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN-MAJALIWA

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya kiislam kuendelea kuyaishi yale waliyojifunza wakati Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Ametoa...

RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI SALA YA EID EL FITR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI IBADA YA EID EL FITRI

Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam,...

DC KHERI JAMES APONGEZA UTENDAJI WA JESHI LA POLISI IRINGA.

Na Mwandishi wetu, Iringa MKUU wa wilaya ya Iringa Komred Kheri James mapema leo amepongeza utendaji wa jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuweza...

TIMU YA MAWIZIRI KUONGEZA NGUVU RUFIJI,KIBITI-MAJALIWA

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Timu ya Mawaziri itakwenda wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani kuungana na...

BILIONI 96.47 KUONGEZA KASI YA MRADI WA UMEME WA KAKONO

Na Saidina Msangi, Dodoma. SERIKALI ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa zimesaini mkataba wa Euro milioni 34.86 sawa na shilingi bilioni 96.47 kwa...

WAZIRI WA ULINZI ATOA POLE VIFO NA MAJERUHI YA WANAJESHI WA TANZANIA, DRC

Na Mwandishi wetu, Congo WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Stergomena Tax ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA DK. BITEKO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini...

MHANDISI SEFF AMTAKA MKANDARASI CHICO KUONGEZA KASI UJENZI WA BARABARA ZA LAMI MRADI WA...

Na Mwandishi wetu, Iringa, MTENDAJI Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amemtaka Mkandarasi ambaye ni China Henan International...

DKT KIRUSWA ATOA RAI KWA MENEJIMENTI WIZARA YA MADINI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYAKAZI

Na Mwandishi wetu NAIBU Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa ametoa rai kwa Menejimenti ya Wizara ya Madini kuhakikisha inachukua hatua za dhati...