BODI YA MFUKO WA BARABARA YAUNDA MABARAZA KWA WAFANYAKAZI

Na Mwandishi Wetu@Lajiji Digital KAIMU Mtendaji Mkuu Bodi ya mfuko wa Barabara , Rashidi Kalimbaga amewataka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA...

RAIS DK.SAMIA ATOA POLE MSIBANI KWA FAMILIA YA MZEE ABDULRAHMAN ALIYEFARIKI USIKU WA KUAMKIA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akimfariji Mwanakheri Mussa Yussuf, Mjane wa Marehemu Mzee Mussa Abdulrahman ambaye alikuwa...

MAJALIWA AWASILI MKOANI MOROGORO. KUKAGUA ATHARI ZILIZOSABABISHWA NA MAFURIKO.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 16, 2024 amewasili Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro ambapo atakagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana...

POLISI KAGERA KUCHUNGUZA MAUAJI YA MWANAFUNZI ALIYEKUTWA AMEUWAWA KIKATILI.

Theophilida Felician, Kagera. JESHI la polisi Mkoani Kagera linafanya uchunguzi wa kifo cha mtoto mwenye umri wa miaka (11) mwanafunzi wa darasa la sita Shule...

RC KUNENGE APOKEA TANI 300 ZA CHAKULA KUTOKA KWA RAIS DK. SAMIA YEYE BINAFSI...

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MKUU wa mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amepokea msaada wa mchele, Maharage na unga tani 300 kutoka kwa Rais...

TAWA YAWEKA KAMBI RUFIJI, ELIMU YA KUEPUKA MADHARA YA MAMBA NA VIBOKO YATOLEWA

Na Beatus Maganja,Rufiji TIMU ya Maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu...

FCT YATOA MAFUNZO KWA WADAU

Na Mwandishi wetu, Arusha BARAZA la Ushindani (FCT) limetoa mafunzo kwa Wadau Kuimarisha Soko Lenye usawa Akifungua mafunzo hayo Aprili 9, 2024 jijini Arusha, Kaimu Katibu...

DK. BITEKO AZITAKA TARURA,TANESCO KUFIKISHA HUDUMA ZAKE NGORONGORO

📌Aipongeza TBC kwa maboresho makubwa ya miundombinu 📌Usikivu wa radio za TBC kufikia asilimia 92 Mwaka 2024/2025 📌Asisitiza maamuzi sahihi uchaguzi Serikali za Mitaa 📌Waziri Nape asisitiza...

RAIS DK.SAMIA ATAMBELEA MAJIRANI ZAKE WA ZAMANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na majirani zake wa zamani, Asha Salum Abdallah ambaye...

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MAONESHO YA WIKI YA NISHATI 2024

Na Mwandishi wetu, Dodoma MKE wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mbuge wa Jimbo la Mchinga (CCM)...