CCM YACHANGIA MILIONI 10 KWA WANANCHI WALIOPATWA NA MAAFA YA MAPOROMOKO YA MLIMA –...

Na Mwandishi wetu, Mbeya  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi , amewatembelea wananchi waliopatwa na maafa ya kuharibikiwa kwa nyumba...

BoT KUTOA ELIMU YA FEDHA KUANZIA NGAZI YA ELIMU YA MSINGI HADI VYUO VIKUU.

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital BENKI Kuu ya Tanzania(BoT) imedhamiria kutoa elimu ya fedha kuanzia ngazi ya elimu msingi hadi vyuo vikuu kuwawezesha vijana kuwa...

RAIS DK.SAMIA YUPO NCHINI UTURUKI KWAAJILI YA ZIARA RASMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ankara Esenboga nchini Uturuki kwa ajili...

FCT YASIKILIZA NA KUTOLEA MAAMUZI MASHAURI 429

Na Mwandishi wetu, Mwanza. KAIMU Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Daniel Machunda amewaomba wadau wote kuendeleza ushirikiano na Baraza la Ushindani (...

SERIKALI KUTUMIA BILIONI 841.19 UJENZI WA BARABARA ZA WILAYA

Na Catherine Sungura-Dodoma KATIKA mwaka 2024/25, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imepanga kutumia shilingi bilioni 841.19 kwa ajili ya...

RAIS DK.MWINYI AFUNGUA MKUTANO WA SADCOPAC

Na Mwandishi wetu, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali zote mbili, ya Jamhuri ya Muungano...

WAZIRI MKUU AKAGUA ATHARI ZA MAAFA RUFIJI

Na Mwandishi Wetu, Rufiji WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi waliokumbwa na adha ya mafuriko nchini waendelee kuwa watulivu wakati Serikali ikiendelea kuratibu utoaji...

WAKULIMA KANDA YA ZIWA WANA UELEWA HAFIFU WA MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA

Na Mwandishi wetu, Mwanza BODI ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imesema Wananchi wa Kanda ya Ziwa wanakabiliwa na changamoto ya Uelewa mdogo...

TAWA YATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

TAWA YATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI Na Beatus Maganja,Rufiji WANANCHI walioathiriwa na mafuriko wilayani Rufiji wameiona thamani na umuhimu wa Mamlaka ya Usimamizi...

RAIS SAMIA ATOA TANI 189 ZA MBEGU – WAZIRI MKUU

Na Mwandishi wetu, Morogoro WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ameridhia kutoa tani 189 za mbegu za mpunga, mahindi...