SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA WANAWAKE-MAMA MARIAM MWINYI.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar MKE wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF),...

DKT. BITEKO AWASILI PEMBA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amewasili Kisiwani Pemba na kupokelewa na Waziri ofisi ya Makamu wa Rais, Sera, Uratibu na...

SERIKALI KULIPA FIDIA ENEO LA IDEFU – MAKAMBAKO

Na Saidina Msangi, WF, Dodoma. SERIKALI imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada...

TARURA NA TEMEKE KUTENGENEZA MPANGO KAZI WA TAARIFA ZA UTUNZAJI WA MITARO YA BARABARA

Na Mwandishi wetu, Temeke MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda ameitaka timu ya wataalamu wa mazingira na ustawi wa jamii ya TARURA na...

RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika...

RAIS DK.MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA UHAMIAJI MKOA WA MJINI MAGHARIBI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kukamilika kwa jengo la Ofisi ya Uhamiaji...

WAZIRI MKUU AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA NISHATI 2024

📌 Atoa maagizo mahsusi kwa Wizara ya Nishati 📌 Ataka maonesho yafanyike hadi ngazi za Mikoa, Wilaya 📌 Apongeza Wizara kwa utulivu wa hali ya umeme...

SERIKALI IMEWEKA KIPAUMBELE MRADI WA UCHIMBAJI DHAHABU NYANZAGA – MAHIMBALI

📌Asema Rais. Samia anafuatilia maendeleo ya Mradi huo kwa karibu. Na Mwandishi wetu, Dodoma KATIBU Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali, amekutana na kuzungumza...

TANZANIA MIONGONI MWA NCHI VINARA WAZALISHAJI MADINI YA KINYWE DUNIANI

TANZANIA MIONGONI MWA NCHI VINARA WAZALISHAJI MADINI YA KINYWE DUNIANI Imeshika nafasi ya Kumi kwa uzalishaji wa Kinywe Duniani Unamilikiwa na Mtanzania kwa asilimia 100 Na Mwandishi...

TAWA YAFANYA MSAKO WA MAMBA TISHIO KWA MAISHA YA BINADAMU RUFIJI

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha...