MZEE MALECELA NI HAZINA YA MAARIFA NA UZALENDO-DK.MWINYI

Na Mwandishi wetu, Dodoma RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Viongozi na Watanzania wanajifunza mengi kutokana...

WAZIRI MKUU AWAAGA VIONGOZI WA DINI, UZINDUZI WA ROUTE YA SGR DAR – DODOMA

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewaaga viongozi wa dini 104 ambao wanaelekea Dodoma kwa treni ya mwendokasi (SGR) kwenda kushiriki ibada...

TANZANIA NA IVORY COAST ZAINGIA RASMI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA YA MICHEZO

Na, Brown Jonas WUSM, Dar es Salaam. WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Michezo ya Ivory coast...

FCT YAONGEZA UWAJIBIKAJI NA UBUNIFU KWA MAMLAKA ZA UDHIBITI NA WAFANYABIASHARA

Na Mwandishi wetu, Kigoma ASILIMIA ya 97 mashauri yaliyowasilishwa kwenye Baraza la Ushindani nchini (FCT) yamesikilizwa na kufanyiwa kazi yamechochea...

DK. BITEKO AWATAKA WATANZANIA, WASIKUBALI KUGAWANYWA

📌 Asema ni moja ya Tunu za Taifa 📌 Kugharimu Shilingi Milioni 500 📌 Aweka Jiwe la Msingi kituo cha Afya Kinyikani, Kaskazini Pemba Na Mwandishi wetu,...

MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI 19.9 KUPITIWA NA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MOROGORO

Na Mwandishi wetu, Morogoro JUMLA ya miradi 70 yenye thamani ya shilingi bilioni 19.9 itapitiwa na mbio za mwenge ambapo miradi 18 itawekewa mawe...

URA SACCOS YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 235.5 KWA...

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MKUU wa Jeshi la Polisi Nchi, IGP Camillus Wambura amepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 235.5...

KUWAHESHIMISHA MABALOZI NI KUKIRUDISHA CHAMA KWA WANACHAMA

Awapongeza wana Ruvuma kwa kujitoa kimasomaso kwa mapenzi ya dhati kwa CCM Na Mwandishi wetu, Ruvuma KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapiduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel...

RAIS DK.MWINYI AZINDUA TAASISI YA WASANIFU NA WAHANDISI ZANZIBAR

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo...