WAHIFADHI WANAWAKE WA TAWA WATEMBELEA PORI LA AKIBA WAMI-MBIKI
π Wahamasisha utalii wa ndani
Morogoro.
KUELEKEA maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake , wahifadhi wanawake wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapaori Tanzania (TAWA) wametembelea...
RAIS DK.SAMIA AIAGIZA WIZARA YA NISHATI KUPITIA MAPITIO YA SERA YA USAFIRISHAJI MAFUTA
π Lengo ni kuyafanya makampuni ya usambazaji mafuta upande wa Kaskazini kutumia Bandari ya Tanga.
π Asema Serikali imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji nchini.
πKapinga asema...
WAZAZI KUHIMIZA WATOTO WAPENDE ELIMU NA KUFANYIA KAZI UJUZI WALIOJIFUNZA
PWANI
AFISA Mkuu Mtaala Mwandamizi wa Taasisi ya Elimu Tanzania(TET), Dk. Joyce Kahambe amewasihi wazazi waendelee kuwahimiza watoto wapende elimu na kufanyia kazi ujuzi wanaojifunza...
RAIS DK MWINYI:SERIKALI INAENDELEA KUWEKEZA KATIKA ELIMU YA JUU.
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema serikali ina wajibu mkubwa wa kuendelea kuwekeza katika elimu ya...
SERIKALI KUENDELEA KUTUNGA SERA RAFIKI KUWEZESHA USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI KATIKA NISHATI SAFI YA...
π Rais Dk.Samia aitaka Wizara ya Nishati kuendelea kusimamia Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia
π Ataka umeme Vijijini uwe zaidi ya kuwasha taa na...
RAIS DK. MWINYI: ZANZIBAR ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA ULAYA KATIKA NYANJA MBALIMBALI ZA...
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Umoja wa Ulaya katika Nyanja mbalimbali...
INEC YATANGAZA KUANZA MCHAKATO WA KUGAWA MAJIMBO
Morogoro
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea...
WALIMU SEMENI SHIDA ZENU, MSIJIONE DUNI – DK. BITEKO
π Serikali yatumia mabilioni kulipa madeni ya walimu
π Asema walimu ni nguzo ya Taifa
π Kliniki ya Walimu neema kwa walimu nchini
π CWT yapongezwa kwa...
RAIS DK. MWINYI: JAMII INAWAJIBU WA KUJIFUNZA UMUHIMU WA AMANI
Zanzabar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina wajibu wa kujifunza umuhimu wa amani kupitia...
TEA YAAHIDI KUZINGATIA USHAURI KATIKA MAJUKUMU YAKE ILI KUFANIKISHA AZMA YA SERIKALI YA AWAMU...
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dk. Erasmus Kipesha amesema kuwa Mamlaka hiyo itaendelea kuzingatia ushauri wakati wote wanapotekeleza majukumu...