MWENYEKITI WA CCM DK.SAMIA AKIONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri...
FCS NA TCRA CCC WAINGIA MKATABA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WATUMIA HUDUMA ZA MAWASILIANO...
Dar es salaam
ASASI ya kiraia Foundation for Civil Society (FCS) na Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC)...
RAIS DK.SAMIA UKIFUATILIA BUNGE LA BAJETI KUU YA SERIKALI MWAKA 2024/25
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wasaidizi wake wakati akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali ya...
WAPIGWA MSASA KUDHIBITI UTOROSHAJI MADINI
Morogoro
WATUMISHI wa Kurugenzi ya Ukaguzi na Biashara ya Madini kutoka Tume ya Madini, wamepigwa msasa namna ya kudhibiti utoroshaji wa madini nje ya...
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MAKOREMO-MGONGORO
Tabora
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria...
RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA MACHIFU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuzungumza na Machifu kutoka...
TANZANIA IMEPIGA HATUA KWENYE MAWASILIANO – MAJALIWA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazopiga hatua kubwa kwenye sekta ya mawasiliano na...
MRAMBA AZIKARIBISHA KAMPUNI ZA UINGEREZA KUWEKEZA KWENYE NISHATI JADIDIFU
📌 Asema Serikali imeamua Gridi iwe na umeme mwingi unaotokana na Nishati Jadidifu
📌 Asisitiza Tanzania kuendana na mipango ya Dunia ya uzalishaji umeme kwa...
DK. NCHEMBA WADAU WAWEKEZE KWENYE SEKTA ZA UZALISHAJI
Na. Peter Haule na Saidina Msangi, Dodoma
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ametoa rai kwa wadau wa maendeleo nchini likiwemo Shirika la Maendeleo la...