TANZANIA YAUNGWA MKONO NA SADC KWA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Angola
NAIBU Waziri wa Nishati Mheshimiwa Judith Kapinga amesema kuwa Tanzania imezindua Programu ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ya kuwasaidia Wanawake wa Afrika...
SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TAASISI BINAFSI ZA ELIMU-KAPINGA
📌 Alipongeza Kanisa Katoliki kwa utoaji wa huduma za kijamii
📌 Aasa Wanafunzi kuwa Waaminifu na Waadilifu
Ruvuma
NAIBU Waziri Nishati, Judith Kapinga amesemaSerikali itaendelea kuwaunga...
TMA YATOA TAARIFA YA MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA
Dar es salaam
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Mvua za Masika zinatarajiwa kuanza mwezi Machi 2025 katika maeneo yanayopata misimu miwili ya...
MADIWANI MAGU WATAKA JIMBO LAO KUGAWANYWA
Na Mwandishi wetu, Magu
BARAZA la Madiwani wilayani Magu Mkoani Mwanza limekubaliana kugawa Jimbo la Magu kuwa Majimbo mawili kutokana na ukubwa wake wa kijografia...
NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ANAYESHUGHULIKIA UTALII AMETEMBELEA MABANDA MBALIMBALI...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii (anayeshughulikia Utalii), Nkoba Mabula leo Julai mosi 2024 ametembelea mabanda mbalimbali ya wizara hiyo yaliyopo kwenye...
WEZESHENI WATU VYA KUTOSHA WATUMIE GESI KWENYE MAGARI; YASEMA KAMATI YA BUNGE
📌 Yaitaka TPDC kuongeza vituo vya kujaza gesi
📌 Yaitaka pia kuongeza karakana za kuweka mifumo ya CNG
📌 Wizara ya Nishati yaahidi kuendelea kuiwezesha TPDC...
JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 14 WILAYANI MASWA
Na Shomari Binda-Maswa
MAHAKAMA ya Hakimu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemtia hatiani mshitakiwa Beatus Manon mwenye umri wa miaka 26 mkazi wa Kijiji...
MENEJA TRA KIBONDO AKAMATWA NA MENO YA TEMBO
Kigoma
JESHI la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma...
MATUMIZI YA KIDIGITILI MASHULENI KWENDA KURAHISISHA UFUNDISHAJI
Na Magrethy Katengu- Dar es salaam
SEKTA ya Elimu inatakiwa kuja na mikakati mizuri ya Tehama ili kusaidia weledi wa ufundishaji kwa kuangalia mabadiliko...
MTIANIA URAIS IFM AITAKA SERIKALI KUTOINGIZA SIASA VYUONI
Dar es Salaam
MTIANIA wa nafasi ya Urais wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Barnabas Samwel amesema kumekuwa...