DK. BITEKO AAGIZA KIGOMA KUINGIZWA KWENYE GRIDI KABLA YA 2025

πŸ“Œ Ataka TANESCO kuongeza kasi utekelezaji miradi ya umeme wa gridi πŸ“Œ Aagiza majenereta ya umeme wa mafuta Kigoma kuzimwa mwishoni mwa 2024 πŸ“Œ Azindua ujenzi...

REA YATUMIA ZAIDI YA BIL. 100 KUTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI KIGOMA

πŸ“Œ Bodi ya Nishati Vijijini (REB) yakagua miradi ya REA Mkoa wa Kigoma πŸ“Œ Wakandarasi watakaochelewa kumaliza miradi kwa wakati kuchukulia hatua za kimkataba πŸ“Œ Vijiji...

TASAC YAKABIDHIWA BOTI NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Dar es salaam OFISI ya Waziri Mkuu imelitaka Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC kushirikiana na Taasisi nyingine za kisekta kuwa na mkakati wa...

BASHE AWATAKA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUISHI KWA AMANI

Songea WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amewaasa wafugaji wa jamii ya Wasukuma wanaoishi katika kata ya Ndalila Wilayani Songea, kuhakikisha kuwa wanaishi kwa amani...

BASHE: WAKULIMA WA RUVUMA NI WEREVU KUFUATA SAYANSI YA KILIMO

Ruvuma WAKULIMA wa Mkoa wa Ruvuma wamepongezwa kwa kuwa werevu wa kufuata sayansi ya kilimo katika uzalishaji wa mazao. Kauli hiyo imetolewa na Waziri...

WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UNGA79

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo Septemba 19, 2024 kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...

RAIS DK.MWINYI AMEKUTANA NA PRINCESS SOPHIE WA UINGEREZA.

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameihakikishia Uingereza kwamba Zanzibar inaendelea na mikakati na juhudi kubwa ya...

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUIFUNGUA KIGOMA – DK. BITEKO

πŸ“ŒBarabara ya Kakonko hadi Mpaka wa Burundi Kujengwa kwa Lami πŸ“Œ Atembelea Hospitali ya Wilaya Kakonko πŸ“ŒAhimiza Wananchi Kuendelea Kufanyakazi kwa Bidii πŸ“Œ Kakonko Yazalisha Chakula Ziada...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA PRINCESS SOPHIE(DUCHESS OF EDINBURGH)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) kwenye kikao cha...

MAHINDI YASIYO NA UBORA KUTAFUTIWA SOKO KWA AJILI YA MIFUGO

Ruvuma WAZIRI wa Kilimo,Hussein Bashe amewahamasisha wakulima wa mahindi mkoani Ruvuma kuhifadhi mahindi ambayo hayana kiwango, zikiwemo pumba, ili kutafutiwa soko kwa ajili ya...