BARAZA LA MTIHANI LATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA LEO
Dar es Salaam
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya darasa la saba huku ufaulu wa jumla ukingozeka kwa asilimia 0.29,...
SERIKALI YAZIDI KUTOA FURSA WATAALAM SEKTA YA UJENZI
Dar es Salaam
SERIKALI imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa...
RAIS DK.SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 11MERCK FOUNDATION AFRICA ASIA LUMINARY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wenza wa Wakuu wa nchi mbalimbali Barani Afrika kabla...
DK.BITEKO ATAKA UMOJA, USHIRIKIANO NA UBUNIFU TAASISI ZA NISHATI
📌 Asema Rais Samia anataka Ubunifu ili kusogeza huduma bora kwa wananchi
📌 Asisitiza utendaji kazi umuangalie Mtanzania wa kawaida anayeitegemea Serikali kubadili maisha
📌 Ataka...
NIRC YAKABIDHI MTAMBO WA UMWAGILIAJI KWA VIJANA WANAOLIMA VITUNGU SONGEA NI AHADI YA WAZIRI...
Ruvuma.
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) yakabidhi mtambo wa umwagiliaji wenye thamani ya shilingi 4,236,000 kwa bwana Jacob Davis na wenzake wawili wanaojishughulisha...
MAJALIWA ATETA NA WAZIRI WA UCHUMI WA URUSI
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Waziri wa Uchumi na Maendeleo wa Shirikisho la Urusi, Maxim Reshetnikov na kujadiliana naye masuala...
MAJALIWA: WATANZANIA TULINDE UTAMADUNI WETU KWA FAIDA YA VIZAZI VIJAVYO
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wahakikishe wanalinda utamaduni na kujenga misingi ya kuhamasisha vijana na vizazi vijavyo kutambua na kuenzi...
MILANGO YA RAIS SAMIA IKO WAZI, ANAWAKARIBISHA VIONGOZI WA DINI: DK. BITEKO
📌 Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Jubilei ya Miaka 50 ya AICT Magomeni
📌Rais Samia Achangia Milioni 100 Ujenzi wa Kanisa
📌Awahimiza Waaumini Kujitoa Kujenga Kanisa
📌...
WAZIRI MKUU MGENI RASMI BUHAYA FESTIVAL
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 27, 2024 ni mgeni rasmi katika Tamasha la Buhaya ‘Buhaya Festival’ linalofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini...