MELI YADONDOSHA DARAJA NCHINI MAREKANI.
Washington DC.
WATU wapatao 20 wanahofiwa kuwa ndani ya maji baada ya daraja la Francis Scott lililopo Baltimore Nchini Marekani kukatika vipandevipande leo March...
UBOMOAJI NYUMBA MSIMBAZI BONDENI KUANZA RASMI APRILI 12, 2024
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
ZOEZI la ubomoaji wa nyumba zilizofidiwa na Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Msimbazi linatarajiwa kuanza rasmi Aprili...
TANZANIA NA KENYA ZA KUBALIANA KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA
Na Mwandishi wetu, Kenya
Tanzania na Kenya zimekubaliana na kutia saini makubaliano ya kuondoa vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru ili kuruhusu raia kutoka nchi...
HAMAS WAVAMIA TENA HOSPITALI YA AL-SHIFA-JESHI LA ISRAEL.
Na Mwandishi wetu
MIEZI minne baada ya wanajeshi wa Israel kuvamia hospitali kubwa zaidi ya Gaza, al-Shifa, wakidai kuwa ni kificho cha kamandi ya...
WATANZANIA WANAJIVUNIA MIAKA 3 YA UWEZO MKUBWA; NCHIMBI
Na Mwandishi wetu, Zimbabwe
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia...
RAIS MNANGAGWA AZIHIMIZA MATAIFA YANAYOZALISHA ALMASI AFRIKA KUONGEZA THAMANI MADINI YAO
*Lugha ya Kiswahili yatumika katika Mkutano kwa mara ya kwanza
Victoria Falls, Zimbabwe.
RAIS wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amehimiza Mataifa yanayozalisha Almasi Barani Afrika...
ZUMA AJIPANGA KUKIONDOA CHAMA CHA ANC MADARAKANI.
LICHA ya kuwa Rais wa zamani aliyehangaishwa na kupelekwa jela, Jacob Zuma anageuka kuwa mwanasiasa asiyetabirika katika kampeni za uchaguzi nchini Afrika Kusini.
Hii inafuatia...
RAIS DK. SAMIA AKUTUNA NA RUTO NA MSEVENI ZANZIBAR
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wageni wake Rais Yoweri Museveni...
TANZANIA YAPONGEZWA KWA USTAWI WA ADPA
Na Mwandishi wetu, Zimbabwe
SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Madini imepongezwa na Wanachama wa Umoja wa Nchi zinazozalisha Almasi Afrika (ADPA) kwa kusaidia...
TCAA CCC KUANZA KUTUMIA AKILI MNEMBA (AI) KATIKA KUTOA ELIMU KWA WATUMIAJI WA USAFIRI...
Na Mwandishi wetu
BARAZA la Ushauri la Watumiaji Huduma za Anga (TCAA CCC) limeahidi kuanza kutumia Teknolojia ya akili mnemba "Artificial intelligence " ili...