DK. KIJAJI ATETA NA SAUDA EXIM
Na Mwandishi wetu, Saudi Arabia
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji ameishauri Benki ya Saudi Exim kuwawezesha wafanyabiashara wa Tanzania na Saudi...
MAWAZIRI WA AFRIKA KUJADILI VIPAUMBELE VYA AFRIKA IDA 21
Na Josephine Majura na Saidina Msangi, WF, Nairobi, Kenya
WAZIRI wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba ameungana na Mawaziri wa Fedha wa Afrika kushiriki katika mkutano...
TANZANIA YAISHAURI BENKI YA DUNIA KUWEKA VIPAUMBELE KATIKA MIRADI YA MAENDELEO AFRIKA
Na Scola Malinga, WF, Washington
TANZANIA imeishauri Benki ya Dunia kutilia maanani vipaumbele vya maendeleo vya nchi za Afrika ikiwemo kuzipatia fedha na ujuzi ili...
DK. NCHEMBA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA DUNIA KUNDI LA AFRIKA
Na Joseph Mahumi, WF, Washington
Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la...
DK.BITEKO AMWAKILISHA RAIS SAMIA MAZISHI YA MKUU WA MAJESHI KENYA
📌 Awataka wakenya kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu
📌 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Jacob Mkunda ashiriki maziko hayo
Na Mwandishi wetu,...
DK. NCHEMBA TANZANIA IMEPIGA HATUA KIUCHUMI NA KIDEMOKRASIA
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amelihakikishia Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) kwamba Tanzania imepiga...
TANZANIA YATETA NA UONGOZI WA IDARA YA SERA ZA KIBAJETI – IMF-FAD
Na Joseph Mahumi, Washington.
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ameongoza Ujumbe wa Tanzania ulipokutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Idara ya Sera ya...
TANZANIA YASISITIZA UHURU WA BIASHARA NA USALAMA WA NCH.
Na Mwandishi wetu, Nairobi
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk. Hashil Abdallah amesema Tanzania inaunga mkono harakati za kuwezesha usafirishaji wa...
MABINTI WA KATA YA KITUNDA WAJIFUNZA UJASIRIAMALI.
Na Mwandishi wetu,@Lajiji Digital
MWAKILISHI wa Afisa Maendeleo Mkoa wa Dar es Salaam,Masalida Njashi amewatoa hofu mabinti wa Kata ya Kitunda Wilaya ya Ilala...