RAIS DK.SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KOREA NA AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi...
RAIS DK.SAMIA ATUNUKIWA UDAKTARI WA FALSAFA WA HESHIMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais...
RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA POSCO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MhSamia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa ya POSCO International pamoja na...
TAASISI YA MSAADA WA KISHERIA AFRIKA (ALSF) KUWAJENGEA UWEZO WANASHERIA NCHINI.
Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, NairobiSERIKALI ya Tanzania imeishukuru Taasisi ya Msaada wa Kisheria Afrika (ALSF) chini ya Benki ya Maendeleo ya Afrika...
RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTAWALA WA MJI WA SEJONG
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Kim Hyung- ryeol mara...
TANZANIA YAUNGWA MKONO NA SADC KWA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Angola
NAIBU Waziri wa Nishati Mheshimiwa Judith Kapinga amesema kuwa Tanzania imezindua Programu ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ya kuwasaidia Wanawake wa Afrika...
COMORO KUMUUNGA MKONO DK. NDUGULILE KINYANG’ANYIRO CHA WHO – AFRIKA
Na Mwandishi wetu, Comoro
SERIKALI ya Comoro imeahidi kuunga mkono ugombea wa Dk. Faustine Ndugulile katika nafasi ya Ukurugenzi wa Kanda wa Shirika...
WASTAAFU WAONYWA KUHUSU MATAPELI
Na Asia Singano na Chedaiwe Msuya, Morogoro
WIZARA ya Fedha imeendelea kuwakumbusha wastaafu wanaolipwa mafao na Wizara ya Fedha kutojihusisha na utoaji wa fedha kwa...
SHIRIKA LA NDEGE LA EMIRATES LIMETANGAZA MIPANGO MIPYA KATIKA SHUGHULI ZA KIBIASHARA
Na Mwandishi wetu, @Lajiji Digital
SHIRIKA la Ndege la Emirates limetangaza mipango yake mipya katika shughuli za kibiashara katika nchi zote ambazo zinahudumiwa na...
SERIKALI YAWAKARIBISHA WAFANYABIASHARA WA SAUDI ARABIA NCHINI
Na Mwandishi wetu, Saudi Arabia
SERIKALI imewakaribisha wafanyabiashara wa Saudi Arabia kuja kufanya Biashara Tanzania katika sekta za Kilimo, Viwanda, Mifugo, Nishati, Madini, Utalii,...