DK. NCHEMBA  TANZANIA IMEPIGA HATUA KIUCHUMI NA KIDEMOKRASIA

Na Benny Mwaipaja, Washington D.C WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu  Nchemba, amelihakikishia Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) kwamba Tanzania imepiga...

RAIS DK.SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA TISA WA FOCAC

LEO Septemba, 5 2024, Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amehutubia mkutano wa tisa wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing. Katika...

RAIS DK.SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KOREA NA AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi...

ZUMA AJIPANGA KUKIONDOA CHAMA CHA ANC MADARAKANI.

LICHA ya kuwa Rais wa zamani aliyehangaishwa na kupelekwa jela, Jacob Zuma anageuka kuwa mwanasiasa asiyetabirika katika kampeni za uchaguzi nchini Afrika Kusini. Hii inafuatia...

KATIBU MKUU WIZARA KILIMO ASHIRIKI MKUTANO WA 138 WA BARAZA LA KAHAWA DUNIANI

Uingereza KATIBU Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli ameshiriki katika Mkutano wa 138 wa Baraza la Kahawa Duniani (International Coffee Council) unaofanyika...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC- ORGAN TROIKA SUMMIT

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo...

TANZANIA YASISITIZA UHURU WA BIASHARA NA USALAMA WA NCH.

Na Mwandishi wetu, Nairobi KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk. Hashil Abdallah amesema Tanzania inaunga mkono harakati za kuwezesha usafirishaji wa...