RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC- ORGAN TROIKA SUMMIT

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo...

RAIS DK.SAMIA AKIWA PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE KATIKA MKUTANO WA 44 WA WAKUU WA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na...

DK. TULIA ASISITIZA UMUHIMU WA USALAMA DUNIANI NA MAENDELEO YA PAMOJA

Italia RAIS wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema kuwa upo...

KATIBU MKUU WIZARA KILIMO ASHIRIKI MKUTANO WA 138 WA BARAZA LA KAHAWA DUNIANI

Uingereza KATIBU Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli ameshiriki katika Mkutano wa 138 wa Baraza la Kahawa Duniani (International Coffee Council) unaofanyika...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTAWALA WA MJI WA SEJONG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Kim Hyung- ryeol mara...

DK. NCHEMBA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA DUNIA KUNDI LA AFRIKA

Na Joseph Mahumi, WF, Washington Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la...

TANZANIA KUNUFAIKA NA MAFUNZO NCHINI INDIA

India BUNGE la India limeahidi kutoa fursa zaidi za mafunzo ya kuwajengea uwezo Watumishi wa umma kupitia Taasisi yake ya Utafiti na Mafunzo ya...