ZUMA AJIPANGA KUKIONDOA CHAMA CHA ANC MADARAKANI.

LICHA ya kuwa Rais wa zamani aliyehangaishwa na kupelekwa jela, Jacob Zuma anageuka kuwa mwanasiasa asiyetabirika katika kampeni za uchaguzi nchini Afrika Kusini. Hii inafuatia...

RAIS DK. SAMIA AKUTUNA NA RUTO NA MSEVENI ZANZIBAR

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wageni wake Rais Yoweri Museveni...

TANZANIA YAPONGEZWA KWA USTAWI WA ADPA

Na Mwandishi wetu, Zimbabwe SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Madini imepongezwa na Wanachama wa Umoja wa Nchi zinazozalisha Almasi Afrika (ADPA) kwa kusaidia...

TCAA CCC KUANZA KUTUMIA AKILI MNEMBA (AI) KATIKA KUTOA ELIMU KWA WATUMIAJI WA USAFIRI...

Na Mwandishi wetu BARAZA la Ushauri la Watumiaji Huduma za Anga (TCAA CCC) limeahidi kuanza kutumia Teknolojia ya akili mnemba "Artificial intelligence " ili...

DKT. BITEKO AKUTANA NA KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI ZAMBIA

Na Mwandishi wetu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu...

TANZANIA YANADI FURSA ZA MADINI MKAKATI KOREA KUSINI NA ASIA

Na Mwandishi wetu, Seoul, Korea Kusini KATIKA kuimarisha Ushirikiano wa Kimataifa kwenye Utafiti na Uchimbaji wa Madini Mkakati na Muhimu, Tanzania imepata nafasi ya...

Viwango vya kubadilisha fedha vyakuza deni nchi za Afrika

Na Mwandishi wetu, Zimbabwe  MADENI ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na...