RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS XI JINPING WA CHINA. 

CHina RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano  na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na ujumbe wake mapema...

RAIS DK.SAMIA AWASILI NCHINI CHINA KUSHIRIKI MKUTANO WA FOCAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa...

TANZANIA IPO TAYARI KWA UWEKEZAJI UTAKAOONGEZA THAMANI YA MADINI NDANI YA NCHI

Indonesia WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati...

TANZANIA YAJIPANGA KUTUMIA NISHATI YA NYUKLIA KUZALISHA UMEME

📌 Dk. Biteko atangaza msimamo katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia 📌 Asema mashapo 58,500 ya urani kutumika kama chanzo cha uzalishaji 📌 Marekani...

DK.BITEKO AWASILI NCHINI KENYA KWA ZIARA YA KIKAZI

Kenya NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo amewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Pili wa Masuala...

RAIS DK.SAMIA AKIWA PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE KATIKA MKUTANO WA 44 WA WAKUU WA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC- ORGAN TROIKA SUMMIT

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo...

TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME – DK. BITEKO

📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP 📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme 📌Wanachama EAPP watachangia...

RAIS DK.SAMIA AWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ROBERT MUGABE.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Gabriel Mugabe kwa ajilli...