TANZANIA YAJIPANGA KUTUMIA NISHATI YA NYUKLIA KUZALISHA UMEME
📌 Dk. Biteko atangaza msimamo katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia
📌 Asema mashapo 58,500 ya urani kutumika kama chanzo cha uzalishaji
📌 Marekani...
DK.BITEKO AWASILI NCHINI KENYA KWA ZIARA YA KIKAZI
Kenya
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo amewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Pili wa Masuala...
RAIS DK.SAMIA AKIWA PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE KATIKA MKUTANO WA 44 WA WAKUU WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC- ORGAN TROIKA SUMMIT
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo...
TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME – DK. BITEKO
📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP
📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme
📌Wanachama EAPP watachangia...
RAIS DK.SAMIA AWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ROBERT MUGABE.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Gabriel Mugabe kwa ajilli...
DK.BITEKO ASHIRIKI KIKAO CHA 19 CHA MAWAZIRI WA NISHATI UGANDA.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akisalimiana na Mwenyekiti wa Mawaziri wa Nishati (Eastern Africa Power Pool) ambae pia ni...
WAZIRI KOMBO KUSHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC, HARARE
Zimbabwe
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili Harare, Zimbabwe kushiriki Mkutano wa Mawaziri wa...
DK. NCHEMBA APIGIA CHAPUO UWEKEZAJI MITAJI KUTOKA NJE NA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI NIGERIA.
Na Benny Mwaipaja, Abuja
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba akiwa na Ujumbe wa Tanzania katika Ubalozi wa Tanzania, uliopo Abuja nchini Nigeria,...
TANZANIA KUNUFAIKA NA MAFUNZO NCHINI INDIA
India
BUNGE la India limeahidi kutoa fursa zaidi za mafunzo ya kuwajengea uwezo Watumishi wa umma kupitia Taasisi yake ya Utafiti na Mafunzo ya...