TAASISI YA MSAADA WA KISHERIA AFRIKA (ALSF) KUWAJENGEA UWEZO WANASHERIA NCHINI.

Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, NairobiSERIKALI ya Tanzania imeishukuru Taasisi ya Msaada wa Kisheria Afrika (ALSF) chini ya Benki ya Maendeleo ya Afrika...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA POSCO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MhSamia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa ya POSCO International pamoja na...

RAIS MNANGAGWA AZIHIMIZA MATAIFA YANAYOZALISHA ALMASI AFRIKA KUONGEZA THAMANI MADINI YAO

*Lugha ya Kiswahili yatumika katika Mkutano kwa mara ya kwanza Victoria Falls, Zimbabwe. RAIS wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amehimiza Mataifa yanayozalisha Almasi Barani Afrika...

RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS XI JINPING WA CHINA. 

CHina RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano  na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na ujumbe wake mapema...

COMORO KUMUUNGA MKONO DK. NDUGULILE KINYANG’ANYIRO CHA WHO – AFRIKA

Na Mwandishi wetu, Comoro SERIKALI ya Comoro imeahidi kuunga mkono ugombea wa Dk. Faustine Ndugulile katika nafasi ya Ukurugenzi wa Kanda wa Shirika...

WASTAAFU WAONYWA KUHUSU MATAPELI

Na Asia Singano na Chedaiwe Msuya, Morogoro WIZARA ya Fedha imeendelea kuwakumbusha wastaafu wanaolipwa mafao na Wizara ya Fedha kutojihusisha na utoaji wa fedha  kwa...

WAZIRI KOMBO KUSHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC, HARARE

Zimbabwe WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili Harare, Zimbabwe kushiriki Mkutano wa Mawaziri wa...

WATANZANIA WANAJIVUNIA MIAKA 3 YA UWEZO MKUBWA; NCHIMBI

Na Mwandishi wetu, Zimbabwe KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia...