SERIKALI YAWAKARIBISHA WAFANYABIASHARA WA SAUDI ARABIA NCHINI

Na Mwandishi wetu, Saudi Arabia SERIKALI imewakaribisha wafanyabiashara wa Saudi Arabia kuja kufanya Biashara Tanzania katika sekta za Kilimo, Viwanda, Mifugo, Nishati, Madini, Utalii,...

DK. BITEKO ATOA SOMO UZALISHAJI, MATUMIZI YA NISHATI AFRIKA•

*Asisitiza ushirikiano miongoni mwa nchi za Afrika *Asema ubunifu na uvumbuzi utawezesha matumzi ya rasilimali *Ahimiza nchi za Afrika kunadi agenda ya Nishati safi Namibia NAIBU...

TCAA CCC KUANZA KUTUMIA AKILI MNEMBA (AI) KATIKA KUTOA ELIMU KWA WATUMIAJI WA USAFIRI...

Na Mwandishi wetu BARAZA la Ushauri la Watumiaji Huduma za Anga (TCAA CCC) limeahidi kuanza kutumia Teknolojia ya akili mnemba "Artificial intelligence " ili...

WASTAAFU WAONYWA KUHUSU MATAPELI

Na Asia Singano na Chedaiwe Msuya, Morogoro WIZARA ya Fedha imeendelea kuwakumbusha wastaafu wanaolipwa mafao na Wizara ya Fedha kutojihusisha na utoaji wa fedha  kwa...

CCM CHINI YA MWENYEKITI DK. SAMIA IMEENDELEA KUTUAMINI VIJANA, TUCHAPE KAZI TUSIMUANGUSHE – CDE....

Iringa KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Komredi. Jokate Mwegelo, amewataka vijana wote wanaoaminiwa na kupewa nafasi za uongozi ndani...

TANZANIA YAJIPANGA KUTUMIA NISHATI YA NYUKLIA KUZALISHA UMEME

📌 Dk. Biteko atangaza msimamo katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia 📌 Asema mashapo 58,500 ya urani kutumika kama chanzo cha uzalishaji 📌 Marekani...

RAIS MNANGAGWA AZIHIMIZA MATAIFA YANAYOZALISHA ALMASI AFRIKA KUONGEZA THAMANI MADINI YAO

*Lugha ya Kiswahili yatumika katika Mkutano kwa mara ya kwanza Victoria Falls, Zimbabwe. RAIS wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amehimiza Mataifa yanayozalisha Almasi Barani Afrika...

TAASISI YA MSAADA WA KISHERIA AFRIKA (ALSF) KUWAJENGEA UWEZO WANASHERIA NCHINI.

Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, NairobiSERIKALI ya Tanzania imeishukuru Taasisi ya Msaada wa Kisheria Afrika (ALSF) chini ya Benki ya Maendeleo ya Afrika...

RAIS DK.SAMIA ATUNUKIWA UDAKTARI WA FALSAFA WA HESHIMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais...

DK.BITEKO ASHIRIKI KIKAO CHA 19 CHA MAWAZIRI WA NISHATI UGANDA.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akisalimiana na Mwenyekiti wa Mawaziri wa Nishati (Eastern Africa Power Pool) ambae pia ni...