RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO JAMHURI YA KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) kwenye Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA MIUNDOMBINU BAINA YA KOREA NA AFRIKA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea...

RAIS DK.SAMIA AMEFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KOICA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) Chang Won...

RAIS DK.SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KOREA NA AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi...

RAIS DK.SAMIA ATUNUKIWA UDAKTARI WA FALSAFA WA HESHIMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA POSCO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MhSamia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa ya POSCO International pamoja na...

TAASISI YA MSAADA WA KISHERIA AFRIKA (ALSF) KUWAJENGEA UWEZO WANASHERIA NCHINI.

Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, NairobiSERIKALI ya Tanzania imeishukuru Taasisi ya Msaada wa Kisheria Afrika (ALSF) chini ya Benki ya Maendeleo ya Afrika...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTAWALA WA MJI WA SEJONG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Kim Hyung- ryeol mara...

TANZANIA YAUNGWA MKONO NA SADC KWA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Angola NAIBU Waziri wa Nishati Mheshimiwa Judith Kapinga amesema kuwa Tanzania imezindua Programu ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ya kuwasaidia Wanawake wa Afrika...