KATIBU MKUU WIZARA KILIMO ASHIRIKI MKUTANO WA 138 WA BARAZA LA KAHAWA DUNIANI
Uingereza
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli ameshiriki katika Mkutano wa 138 wa Baraza la Kahawa Duniani (International Coffee Council) unaofanyika...
DK. TULIA ASISITIZA UMUHIMU WA USALAMA DUNIANI NA MAENDELEO YA PAMOJA
Italia
RAIS wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema kuwa upo...
RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA N WAWEKEZAJI WA CHINA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China Academy...
DK. BITEKO ATOA SOMO UZALISHAJI, MATUMIZI YA NISHATI AFRIKA•
*Asisitiza ushirikiano miongoni mwa nchi za Afrika
*Asema ubunifu na uvumbuzi utawezesha matumzi ya rasilimali
*Ahimiza nchi za Afrika kunadi agenda ya Nishati safi
Namibia
NAIBU...
RAIS DK.SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA TISA WA FOCAC
LEO Septemba, 5 2024, Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amehutubia mkutano wa tisa wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing.
Katika...
DK. BITEKO AMWAKILISHA RAIS DK. SAMIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA HYDROGEN NCHINI NAMIBIA
📌 Afanya mazungumzo na Makamu wa Rais, Namibia, Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah
📌 Nishati safi yapigiwa chapuo kimataifa kwa maendeleo na ustawi wa jamii
📌 Namibia hasisitiza...
RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS XI JINPING WA CHINA.
CHina
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na ujumbe wake mapema...
RAIS DK.SAMIA AWASILI NCHINI CHINA KUSHIRIKI MKUTANO WA FOCAC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa...
TANZANIA IPO TAYARI KWA UWEKEZAJI UTAKAOONGEZA THAMANI YA MADINI NDANI YA NCHI
Indonesia
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati...