RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO JAMHURI YA KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) kwenye Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya...

DK.BITEKO AMWAKILISHA RAIS SAMIA MAZISHI YA MKUU WA MAJESHI KENYA

📌 Awataka wakenya kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu 📌 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Jacob Mkunda ashiriki maziko hayo Na Mwandishi wetu,...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTAWALA WA MJI WA SEJONG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Kim Hyung- ryeol mara...

UBOMOAJI NYUMBA MSIMBAZI BONDENI KUANZA RASMI APRILI 12, 2024

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam ZOEZI la ubomoaji wa nyumba zilizofidiwa na Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Msimbazi linatarajiwa kuanza rasmi Aprili...

TANZANIA KUNUFAIKA NA MAFUNZO NCHINI INDIA

India BUNGE la India limeahidi kutoa fursa zaidi za mafunzo ya kuwajengea uwezo Watumishi wa umma kupitia Taasisi yake ya Utafiti na Mafunzo ya...

TANZANIA YANADI FURSA ZA MADINI MKAKATI KOREA KUSINI NA ASIA

Na Mwandishi wetu, Seoul, Korea Kusini KATIKA kuimarisha Ushirikiano wa Kimataifa kwenye Utafiti na Uchimbaji wa Madini Mkakati na Muhimu, Tanzania imepata nafasi ya...

DK. KIJAJI ATETA NA SAUDA EXIM

Na Mwandishi wetu, Saudi Arabia WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji ameishauri Benki ya Saudi Exim kuwawezesha wafanyabiashara wa Tanzania na Saudi...

WATANZANIA WANAJIVUNIA MIAKA 3 YA UWEZO MKUBWA; NCHIMBI

Na Mwandishi wetu, Zimbabwe KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia...

DK.NCHIMIBI AFANYA MAZUNGUMZO NA KOMREDI TANG DENGJIE

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Komredi Tang Dengjie, Mjumbe wa Kamati Kuu ya...