TANZAN IA NA OMANI ZASAINI MKATABA WA KUTOTOZA KODI MARA MBILI

Na Benny Mwaipaja, Oman SERIKALI yanJamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Kisultan ya Oman, zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato...

TANZANIA KUENDELEA KUFANYA MASHAURIANO NA UENDELEZAJI USHOROBA LOBITO_DK. MPANGO

Angola MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema Tanzania inaendelea kufanya mashauriano ndani ya Serikali ili kuona...

MAKAMU WA RAIS ANADI FURSA ZA UWEKEZAJI SEKTA YA UCHUMI WA BULUU, AZERBAIJAN

Na Benny Mwaipaja, Baku, Azerbaijan MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Isdor Mpango, ameihamasisha sekta binafsi na wadau wengine wa maendeleo wa kimataifa kuchangamkia fursa...

DK. MPANGO ATAKA UBUNIFU WA VIJANA UZINGATIWE KATIKA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Irene Gowelle, Azerbaijan. ILI kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi...

DK. BITEKO ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS DUMA BOKO BOTSWANA

Botswana  NAIBU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo Novemba 8, 2024 amemwakilisha Rais wa...

MPYA BOTSWANA KUAPISHWA LEO

📌 DK.BITEKO AIWAKILISHA SERIKALI YA TANZANIA Botswana NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko anaiwakilisha Serikali katika sherehe za uapisho wa Rais...

RAIS MWINYI AWASILI CHINA

China RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimbatana na Mke wake Mama Mariam Mwinyi amewasili katika uwanja wa...

WAZIRI KOMBO AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI CUBA

Cuba WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameongoza kikao cha Ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliowasili...

RAIS DK.SAMIA AKUTANA NA NAIBU KIONGOZI MKUU WA USAID

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzunguma na Naibu Kiongozi Mkuu wa USAID, Isobel Coleman leo ...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI KWENYE MJADALA ROUND TABLE DISCUSSION KUHUSU KILIMO BARANI AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye mjadala (round tables discussion) kuhusu Kilimo barani Afrika, katika Mji wa...