DK.BITEKO AMWAKILISHA RAIS SAMIA MAZISHI YA MKUU WA MAJESHI KENYA

📌 Awataka wakenya kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu 📌 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Jacob Mkunda ashiriki maziko hayo Na Mwandishi wetu,...

RAIS MNANGAGWA AZIHIMIZA MATAIFA YANAYOZALISHA ALMASI AFRIKA KUONGEZA THAMANI MADINI YAO

*Lugha ya Kiswahili yatumika katika Mkutano kwa mara ya kwanza Victoria Falls, Zimbabwe. RAIS wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amehimiza Mataifa yanayozalisha Almasi Barani Afrika...

DK.BITEKO AWASILI NCHINI KENYA KWA ZIARA YA KIKAZI

Kenya NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo amewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Pili wa Masuala...

DK. BITEKO ATOA SOMO UZALISHAJI, MATUMIZI YA NISHATI AFRIKA•

*Asisitiza ushirikiano miongoni mwa nchi za Afrika *Asema ubunifu na uvumbuzi utawezesha matumzi ya rasilimali *Ahimiza nchi za Afrika kunadi agenda ya Nishati safi Namibia NAIBU...

RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA N WAWEKEZAJI WA CHINA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China Academy...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA MIUNDOMBINU BAINA YA KOREA NA AFRIKA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea...

ZUMA AJIPANGA KUKIONDOA CHAMA CHA ANC MADARAKANI.

LICHA ya kuwa Rais wa zamani aliyehangaishwa na kupelekwa jela, Jacob Zuma anageuka kuwa mwanasiasa asiyetabirika katika kampeni za uchaguzi nchini Afrika Kusini. Hii inafuatia...

MAWAZIRI WA AFRIKA KUJADILI VIPAUMBELE VYA AFRIKA IDA 21

Na Josephine Majura na Saidina Msangi, WF, Nairobi, Kenya WAZIRI wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba ameungana na Mawaziri wa Fedha wa Afrika kushiriki katika mkutano...

MABINTI WA KATA YA KITUNDA WAJIFUNZA UJASIRIAMALI.

Na Mwandishi wetu,@Lajiji Digital MWAKILISHI wa Afisa Maendeleo Mkoa wa Dar es Salaam,Masalida Njashi amewatoa hofu mabinti wa Kata ya Kitunda Wilaya ya Ilala...