SHIRIKA LA NDEGE LA EMIRATES LIMETANGAZA MIPANGO MIPYA KATIKA SHUGHULI ZA KIBIASHARA
Na Mwandishi wetu, @Lajiji Digital
SHIRIKA la Ndege la Emirates limetangaza mipango yake mipya katika shughuli za kibiashara katika nchi zote ambazo zinahudumiwa na...
DK.BITEKO AMWAKILISHA RAIS SAMIA MAZISHI YA MKUU WA MAJESHI KENYA
📌 Awataka wakenya kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu
📌 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Jacob Mkunda ashiriki maziko hayo
Na Mwandishi wetu,...
MABINTI WA KATA YA KITUNDA WAJIFUNZA UJASIRIAMALI.
Na Mwandishi wetu,@Lajiji Digital
MWAKILISHI wa Afisa Maendeleo Mkoa wa Dar es Salaam,Masalida Njashi amewatoa hofu mabinti wa Kata ya Kitunda Wilaya ya Ilala...
RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO JAMHURI YA KOREA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) kwenye Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya...
RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS XI JINPING WA CHINA.Â
CHina
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na ujumbe wake mapema...
TANZANIA KUENDELEA KUFANYA MASHAURIANO NA UENDELEZAJI USHOROBA LOBITO_DK. MPANGO
Angola
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema Tanzania inaendelea kufanya mashauriano ndani ya Serikali ili kuona...
DK. BITEKO ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS DUMA BOKO BOTSWANA
Botswana  NAIBU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo Novemba 8, 2024 amemwakilisha Rais wa...
COMORO KUMUUNGA MKONO DK. NDUGULILE KINYANG’ANYIRO CHA WHO – AFRIKA
Na Mwandishi wetu, Comoro
SERIKALI ya Comoro imeahidi kuunga mkono ugombea wa Dk. Faustine Ndugulile katika nafasi ya Ukurugenzi wa Kanda wa Shirika...
TANZANIA NA KENYA ZA KUBALIANA KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA
Na Mwandishi wetu, Kenya
Tanzania na Kenya zimekubaliana na kutia saini makubaliano ya kuondoa vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru ili kuruhusu raia kutoka nchi...
DK.BITEKO ASHIRIKI KIKAO CHA 19 CHA MAWAZIRI WA NISHATI UGANDA.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akisalimiana na Mwenyekiti wa Mawaziri wa Nishati (Eastern Africa Power Pool) ambae pia ni...