HARMONIZE ANATARAJIA KUZINDUA ALBUM YA TANO MEI 25
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MSANII wa mziki bongo fleva Rajab Abdul maarufu kama "Harmonize" Mei 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano ambayo...
KISWAHILI NI FURSA- BALOZI MAHMOUD THABIT KOMBO
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
LUGHA ya Kiswahili ni fursa Watanzania tutumie kukuza uchumi wetu.
Hayo yamesemwa mei, 6 , 2024 na Balozi wa Tanzania nchini Italia...
DK. SERERA AHIMIZA MFUKO WA SANAA NA UTAMADUNI KUJENGA UWEZO KWA WASANII
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Suleiman Serera ametoa wito kwa watendaji wa Mfuko wa Utamaduni...
ZARI THE BOSS LADY KESHO ANATARAJIA KUTOA MSAADA HOSPITALI
MPENZi wa zamani wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zarina Hassan maarufu The Boss Lady, anatarajiwa kutoa msaada kwa wanawake waliojifungua kwenye Hospitali...
WASAFI WAMPA POLE RAIS DK.MWINYI.
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mkurugenzi...
Halima amesema urembo unahitaji uwekezaji kama sekta zingine
Na Mwandishi wetu
Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Mrembo wa Dunia(Miss World 2024)Halima Kopwe ameimba serikali kuwekeza kwenye tasnia ya urembo kama inavyofanya...
STEVE NYERERE AMESEMA WANATARAJIA KUAANDAA TAMASHA KUBWA
Na Mwandishi wetu
MWENYEKITI wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele maarufu kama"Steve Nyerere" amesema wanatarajia kufanya Tamasha kubwa kwaajili ya walemavu ...
Zuchu afungiwa miezi sita Visiwani Zanzibar
Na Mwandishi wetu
BARAZA la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, ( BASSFU), limemfungia msanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu kwa jina...
HALIMA KOPWE ATINGA 10 BORA KIPENGELE CHA KAZI MRADI MISS WORLD
Na Mwandishi wetu
MREMBO wa Tanzania, Halima Kopwe ameingia katika kumi bora kwenye kipengele cha ushindani cha 'Beauty with Purpose Project' kwenye shindano la...