KAMPUNI YA HEINKENI INATARAJIA KUZINDUA RASMI JALADA NA CHAPA YA KAMPUNI MPYA MEI 25

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MENEJA Mkazi nchini wa Kampuni ya Heinken , Obabiya Fagade amesema kampuni ya Heinken imefanya ununuzi wa Kampuni ya Distell...

Zuchu afungiwa miezi sita Visiwani Zanzibar

Na Mwandishi wetu  BARAZA la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, ( BASSFU), limemfungia msanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu kwa jina...

RC MTAMBI AWATAKA WASHIRIKI MISS LAKE ZONE KUWA MABALOZI KUTANGAZA UTALII WA NDANI

Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka washiriki wa shindano la Miss Kanda ya Ziwa kuwa mabolozi wa utalii wa...

ZARI THE BOSS LADY KESHO ANATARAJIA KUTOA MSAADA HOSPITALI

MPENZi wa zamani wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zarina Hassan maarufu The Boss Lady, anatarajiwa kutoa msaada kwa wanawake waliojifungua kwenye Hospitali...

TAMASHA LA UTALII LUSHOTO KUIBUA FURSA MPYA ZA AJIRA KWA WANANCHI

Na Ashrack Miraji, Tanga MKUU wa Wilaya Lushoto, Japhari Kubecha, amesema Tamasha la Utalii Wilayani humo liitwalo USAMBALA TOURISM FESTIVAL linatarajiwa kufanyika mwezi Septemba...

DC TANGA AKUTANA NA FAMILIA ZA KING MAJUTO, SHABAN ROBERT.

Na Boniface Gideon,TANGA MKUU wa Wilaya ya Tanga, Raphael Kubecha mwishoni mwa wiki hii amekutana na familia za wanasanaa maarufu nchini King Majuto na Shaban...

MAMA KANUMBA APONGEZA WAANDAJI WA TAMASHA LA FARAJA YA TASNIA

Dar es Salaam MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Frola Mtegoa amesema tangu mwanaea afariki dunia  hajawahi kuangalia filamu ya Kanumba hata  moja kwa sababu...

WASANII WA BONGO MOVIE WAJIFUNZA KWA KINA KUHUSU SEKTA YA MADINI

Dar es Salaam, BAADHI ya Wasanii wa filamu maarufu Bongo Movie wamepata fursa ya kujifunza kwa kina kuhusu sekta ya madini kupitia Maonesho ya 48...

ZANZIBAR KUSHIRIKIANA NA WASANII KUTANGAZA VIVUTIO:DK.MWINYI

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Wasanii kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii. Dk.Mwinyi...

HARMONIZE ANATARAJIA KUZINDUA ALBUM YA TANO MEI 25

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MSANII wa mziki bongo fleva Rajab Abdul maarufu kama "Harmonize" Mei 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano ambayo...