ZARI THE BOSS LADY KESHO ANATARAJIA KUTOA MSAADA HOSPITALI

MPENZi wa zamani wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zarina Hassan maarufu The Boss Lady, anatarajiwa kutoa msaada kwa wanawake waliojifungua kwenye Hospitali...

RAIS DK. MWINYI AAHIDI KUENDELEZA MATAMASHA YA ASILI ILI KUONGEZA IDADI YA WATALII

Unguja RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuyaimarisha matamasha yaliyopo ikiwemo Mwaka Kogwa na...

ZANZIBAR KUSHIRIKIANA NA WASANII KUTANGAZA VIVUTIO:DK.MWINYI

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Wasanii kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii. Dk.Mwinyi...

RAIS DK.SAMIA AMEPOKEA ZAWADI YA CD ZENYE BAADHI YA FILAMU ZA KOREA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi ya CD zenye baadhi ya Filamu zilizochezwa na Watayarishaji maarufu wa Jamhuri...

Halima amesema urembo unahitaji uwekezaji kama sekta zingine

Na Mwandishi wetu Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Mrembo wa Dunia(Miss World 2024)Halima Kopwe ameimba serikali kuwekeza kwenye tasnia ya urembo kama inavyofanya...

DK. SERERA AHIMIZA MFUKO WA SANAA NA UTAMADUNI KUJENGA UWEZO KWA WASANII

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Suleiman Serera ametoa wito kwa watendaji wa Mfuko wa Utamaduni...

STEVE NYERERE AMESEMA WANATARAJIA KUAANDAA TAMASHA KUBWA

Na Mwandishi wetu MWENYEKITI wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele maarufu kama"Steve Nyerere" amesema wanatarajia kufanya  Tamasha kubwa kwaajili  ya walemavu ...

KISWAHILI NI FURSA- BALOZI MAHMOUD THABIT KOMBO

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital  LUGHA ya Kiswahili ni fursa Watanzania tutumie kukuza uchumi wetu. Hayo yamesemwa mei, 6 , 2024 na Balozi wa Tanzania nchini Italia...

HARMONIZE ANATARAJIA KUZINDUA ALBUM YA TANO MEI 25

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MSANII wa mziki bongo fleva Rajab Abdul maarufu kama "Harmonize" Mei 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano ambayo...

TUZO ZA TAMTHILIA ZA KIMATAIFA KUZINDULIWA AGOSTI 24,2024

Dar es Salaam WASANII filamu za Bongomovie wameshauriwa kuchangamkia fursa waliyopewa Kimataifa kupitia Tuzo za Tamthilia zinazotarajiwa kuzinduliwa rasmi Agosti 24,2024 Jijini Dar es Salaam. Akizungumza...