TAMASHA LA UTALII LUSHOTO KUIBUA FURSA MPYA ZA AJIRA KWA WANANCHI
Na Ashrack Miraji, Tanga
MKUU wa Wilaya Lushoto, Japhari Kubecha, amesema Tamasha la Utalii Wilayani humo liitwalo USAMBALA TOURISM FESTIVAL linatarajiwa kufanyika mwezi Septemba...
ZANZIBAR KUSHIRIKIANA NA WASANII KUTANGAZA VIVUTIO:DK.MWINYI
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Wasanii kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii.
Dk.Mwinyi...
RAIS DK. MWINYI AAHIDI KUENDELEZA MATAMASHA YA ASILI ILI KUONGEZA IDADI YA WATALII
Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuyaimarisha matamasha yaliyopo ikiwemo Mwaka Kogwa na...
WASANII WA BONGO MOVIE WAJIFUNZA KWA KINA KUHUSU SEKTA YA MADINI
Dar es Salaam,
BAADHI ya Wasanii wa filamu maarufu Bongo Movie wamepata fursa ya kujifunza kwa kina kuhusu sekta ya madini kupitia Maonesho ya 48...
KUKUMBATIA TAMADUNI ZA KIGENI NI HATARI KWA MAENDELEO YA NCHI – DK. BITEKO
📌 Asema ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili
📌 Ahusisha na ukatili wa kijinsia na mauaji ya Albino
Mwanza
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, ...
WAZIRI NDUMBARO ASISITIZA WASANII KURASIMISHA KAZI ZAO .
Dar es Salaam
WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amehimiza na kuwasisitiza wasanii kujiraismisha ili kurahisisha mipango ya Serikali ya kuwatafutia...
WASANII WA TANZANIA NA KOREA KUCHEZA FILAMU KWA PAMOJA
Korea
SEKTA ya Filamu nchini Jamhuri ya Korea imeahidi kushirikiana na sekta ya filamu nchini Tanzania ili iweze kuzalisha filamu zenye viwango vya Kimataifa zitakazovutia...
RAIS DK.SAMIA AMEPOKEA ZAWADI YA CD ZENYE BAADHI YA FILAMU ZA KOREA KUSINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi ya CD zenye baadhi ya Filamu zilizochezwa na Watayarishaji maarufu wa Jamhuri...
RAIS SAMIA ASHUHUDIA UZINDUZI WA ALBAM YA MUZIKI WA MAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Msanii wa Bongo Flavour Rajab Abdul aka Harmonize mara baada ya kuwasili...
KAMPUNI YA HEINKENI INATARAJIA KUZINDUA RASMI JALADA NA CHAPA YA KAMPUNI MPYA MEI 25
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MENEJA Mkazi nchini wa Kampuni ya Heinken , Obabiya Fagade amesema kampuni ya Heinken imefanya ununuzi wa Kampuni ya Distell...