WASANII MBALIMBALI NA WATU MAARUFU NDANI YA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM
Dodoma
WASANII mbalimbali na watu maarufu ni miongoni mwa watu waliohudhuria mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Lengo...
RAIS SAMIA ASHUHUDIA UZINDUZI WA ALBAM YA MUZIKI WA MAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Msanii wa Bongo Flavour Rajab Abdul aka Harmonize mara baada ya kuwasili...
KING KIKII WA KITAMBAA CHEUPE AFARIKI DUNIA
Mwanamziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania Bonifance maarufu kwa jina la King Kikii amefariki dunia.
Mwanamziki huyo ambaye ameugua kwa mda mrefu...
WASAFI WAMPA POLE RAIS DK.MWINYI.
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mkurugenzi...
HALIMA KOPWE ATINGA 10 BORA KIPENGELE CHA KAZI MRADI MISS WORLD
Na Mwandishi wetu
MREMBO wa Tanzania, Halima Kopwe ameingia katika kumi bora kwenye kipengele cha ushindani cha 'Beauty with Purpose Project' kwenye shindano la...
HARMONIZE ANATARAJIA KUZINDUA ALBUM YA TANO MEI 25
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MSANII wa mziki bongo fleva Rajab Abdul maarufu kama "Harmonize" Mei 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano ambayo...
RAYVAN AZINDUA PROMOSHENI YA ‘KULA SHAVU
Dar es Salaam
MSANII nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa, Rayvanny, maarufu kama Chui, ameizindua rasmi promosheni mpya inayojulikana kama “Kula Shavu”,...
WASANII WA TANZANIA NA KOREA KUCHEZA FILAMU KWA PAMOJA
Korea
SEKTA ya Filamu nchini Jamhuri ya Korea imeahidi kushirikiana na sekta ya filamu nchini Tanzania ili iweze kuzalisha filamu zenye viwango vya Kimataifa zitakazovutia...
KESI YA NICOLE YASOGEZWA MBELE HADI APRIL 14
Dar es Salaam
KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili msanii wa uigizaji Joyce Mbaga (32), maarufu Nicole Berry na mwenzake Rehema Mahanyu (31), imetajwa leo...
MAMA KANUMBA APONGEZA WAANDAJI WA TAMASHA LA FARAJA YA TASNIA
Dar es Salaam
MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Frola Mtegoa amesema tangu mwanaea afariki dunia hajawahi kuangalia filamu ya Kanumba hata moja kwa sababu...