RAIS DK.MWINYI AFUNGUA TRACE AWARDS 2025

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuwaunga mkono wasanii kwani ni muhimu katika...

WASANII MBALIMBALI NA WATU MAARUFU NDANI YA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM

Dodoma WASANII mbalimbali na watu maarufu ni miongoni mwa watu waliohudhuria mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Lengo...

DISEMBA 26,2024 HISTORIA YA MASUMBWI NGUMI ZA KULIPWA KUANDIKWA TANZANIA

Dar es salaam WASANII Filamu Nchini Bongo movie wametoa mitazamo yao kuelekea siku ya Disemba, 26 Masaki Jijini Dar es salaam siku ya boxing...

KING KIKII WA KITAMBAA CHEUPE AFARIKI DUNIA

Mwanamziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania Bonifance maarufu kwa jina la King Kikii amefariki dunia. Mwanamziki huyo ambaye ameugua kwa mda mrefu...

TANZANIA NA KUBA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA SANAA

Cuba WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Tabia Maulid Mwita...

DC TANGA AKUTANA NA FAMILIA ZA KING MAJUTO, SHABAN ROBERT.

Na Boniface Gideon,TANGA MKUU wa Wilaya ya Tanga, Raphael Kubecha mwishoni mwa wiki hii amekutana na familia za wanasanaa maarufu nchini King Majuto na Shaban...

MAMA KANUMBA APONGEZA WAANDAJI WA TAMASHA LA FARAJA YA TASNIA

Dar es Salaam MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Frola Mtegoa amesema tangu mwanaea afariki dunia  hajawahi kuangalia filamu ya Kanumba hata  moja kwa sababu...

RC MTAMBI AWATAKA WASHIRIKI MISS LAKE ZONE KUWA MABALOZI KUTANGAZA UTALII WA NDANI

Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka washiriki wa shindano la Miss Kanda ya Ziwa kuwa mabolozi wa utalii wa...

TUZO ZA TAMTHILIA ZA KIMATAIFA KUZINDULIWA AGOSTI 24,2024

Dar es Salaam WASANII filamu za Bongomovie wameshauriwa kuchangamkia fursa waliyopewa Kimataifa kupitia Tuzo za Tamthilia zinazotarajiwa kuzinduliwa rasmi Agosti 24,2024 Jijini Dar es Salaam. Akizungumza...

WAZIRI DAMASI NDUMBALO ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI UFUNGUZI WA GRAND GALA DANCE

Dar es salaam WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo Damasi Ndumbalo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Msimu wa tatu wa grand gala dance...