SERIKALI YAPUNGUZA KODI KWENYE VIFAA VYA MAZOEZI TIBA

Na Saidina Msangi, Dodoma. SERIKALI imesema kuwa msamaha kwenye vifaa tiba vya mazoezi yaani physiotherapy hutolewa kwa hospitali zilizosajiliwa na kuidhinishwa na Waziri wa Afya,...

SEKTA YA UWEKEZAJI NCHINI INAZIDI KUIMARIKA -PROFESA KITILA.

Na Esther Mnyika @Lajiji Digital WAZIRI wa Ofisi ya Rais Uwekezaji na Mipango Profesa Kitila Mkumbo amesema kwa Sekta ya Uwekezaji nchini inazidi kuimarika...

DC SAME AIGIZA TRA KUTUMIA UBUNIFU WA KUDHIBITI MIANYA YA UKWEPAJI KODI KWA BAADHI...

Na Mwandishi wetu, SAME MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kutumia...

MAMA NA BABA LISHE WA SOKO LA SAMAKI FERI KUFUNGIWA MTAMBO WA GESI YA...

Na Esther Mnyika NAIBU Spika wa Bunge, Azzan Zungu, amewahakikishia Mama Lishe na Baba lishe katika Soko la Samaki la Kimataifa Feri kuwa watafungiwa...

KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA TANAZANIA NA CHINA KUFANYIKA MACHI 27.

Na Mwandishi wetu  KATIKA kile kinachothibitisha kuwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umefungua fursa za kiuchumi Machi 27 mwaka huu kampuni 180 za China...

DKT. NCHEMBA ATETA NA UONGOZI WA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR

Na Benny Mwaipaja, DodomaWaziri wa Fedha, Dk. Mwigulu  Nchemba, ameipongeza Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa kupanua biashara zake hapa nchini na kuitaka...

TANTRADE YAPOKEA VIFAA MBALIMBALI VYA BILIONI MOJA

Na Esther Mnyika Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Nchini (TANTRADE) wamepokea msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi wao kutoka mamlaka...