WAVUVI WA MUSOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI MIKOPO NAFUU YA DK.SAMIA YA UVUVI WA VIZIMBA

Na Shomari Binda-Musoma WAVUVI katika jimbo la Musoma vijijini wameishukuru serikali chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa mikopo nafuu kwaajili ya uvuvi wa vizimba. Shukrani...

SAGCOT :PARACHICHI LINALOLIMWA NCHINI LINA THAMANI NJE YA NCHI

Dodoma TAAASISI Inayojihusisha na Mpango wa Kukuza Kilimo Ukanda wa Kusini Mwa Tanzania (SAGCOT) imesema zao la parachichi linalolimwa hapa nchini lina ubora...

TANI 1100 ZA UFUTA ZIMEUZWA PWANI KATIKA MNADA WA NNE KWA SHILINGI 3280/- KWA...

Pwani TANI 1100 za zao la ufuta zimeuzwa katika mnada wa nne wa msimu wa mwaka 2024/25 kwa bei ya shilingi 3280.13 kwa kilo Moja...

DKT. NCHEMBA ATETA NA UONGOZI WA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR

Na Benny Mwaipaja, DodomaWaziri wa Fedha, Dk. Mwigulu  Nchemba, ameipongeza Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa kupanua biashara zake hapa nchini na kuitaka...

BENKI YA AKIBA YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WADAU MBALIMBALI

Na Mwandishi wetu,Dodoma BENKI ya Akiba imesema itaendelea kuunga mkono serikali kwa kutoa elimu ya fedha huku ikiboresha huduma zake nchi nzima ili kusaidia...

DC SAME AIGIZA TRA KUTUMIA UBUNIFU WA KUDHIBITI MIANYA YA UKWEPAJI KODI KWA BAADHI...

Na Mwandishi wetu, SAME MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kutumia...

SERIKALI KUZINDUA SERA MPYA YA BIASHARA

Na Esther Mnyika, Dar es salaam SERIKALI inatarajia kuzindua Sera mpya yaTaifa ya Biashara ya 2003 Toleo la 2023 yenye dhamira ya kuweka mfumo...

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA ATOA RAI WAFANYABIASHARA KUFUNGUA MADUKA.

Dar es Salaam MWENYEKITI waJumuiya ya Wafanyabiashara Soko la Kimataifa la Kariakoo, Martin Mbwana ametoa rai kwa wafanyabiashara kufungua maduka yao na kuendelea kufanyakazi...

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAIOMBA SERIKALI TOZO ZOTE ZA MIZIGO KUISHIA BANDARINI Dar es salaam JUMUIYA ya wafanyabiashara Kariakoo wamemuomba Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutoa maelekezo kwa...

BRELA YATOA ELIMU MAONYESHO YA BIASHARA NA UTALII TANGA.

Na Boniface Gideon,Tanga WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wameendelea na zoezi la kutoa Elimu kwa Wafanyabiashara na Wananchi pamoja na kufanya huduma...