WATANZANIA TUMIENI FURSA MAONESHO YA 48 YA SABA SABA

Dar es Salaam WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa Watanzania kushirikiMaonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Dar es...

TRADE MARK AFRIKA KUENDELEA KUTEKELEZA MIRADI NCHINI

Na Saidina Msangi,Dodoma. NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Amina Khamis Shaaban, ameongoza Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC)...

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA ATOA RAI WAFANYABIASHARA KUFUNGUA MADUKA.

Dar es Salaam MWENYEKITI waJumuiya ya Wafanyabiashara Soko la Kimataifa la Kariakoo, Martin Mbwana ametoa rai kwa wafanyabiashara kufungua maduka yao na kuendelea kufanyakazi...

RC CHALAMILA WAFANYABIASHARA WALIOFUNGUA MADUKA KARIAKOO WASISHINIKIZWE KUFUNGA

-Asema falsafa ya Dk. Samia ni kutatua migogoro kwa kukaa mezani pamoja -Asisitiza kamwe migogoro haiwezi kusuluhishwa kwa mashinikizo Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa...

TADB WATANZANIA WANAWATEGEMEA KATIKA ELIMU NA MIKOPO – DK. BITEKO

Pwani NAIBU Waziri Mkuu Dk. Dotto Biteko amesema Watanzania wanawategemea katika uwezeshaji wa elimu na mikopo Banki ya maendeleo ya kilimo nchini TADB kwani...

BENKI YA AKIBA YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WADAU MBALIMBALI

Na Mwandishi wetu,Dodoma BENKI ya Akiba imesema itaendelea kuunga mkono serikali kwa kutoa elimu ya fedha huku ikiboresha huduma zake nchi nzima ili kusaidia...

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAIOMBA SERIKALI TOZO ZOTE ZA MIZIGO KUISHIA BANDARINI Dar es salaam JUMUIYA ya wafanyabiashara Kariakoo wamemuomba Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutoa maelekezo kwa...

BRELA YATOA ELIMU MAONYESHO YA BIASHARA NA UTALII TANGA.

Na Boniface Gideon,Tanga WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wameendelea na zoezi la kutoa Elimu kwa Wafanyabiashara na Wananchi pamoja na kufanya huduma...

BRELA YATOA ELIMU YA MILIKI UBUNIFU , WIKI YA ELIMU, UJUZI NA UBUNIFU.

Na Boniface Gideon -TANGA WAKALA wa Biashara na Leseni (BRELA) wameendesha zoezi la kutoa Elimu ya alama Miliki Ubunifu Bunifu kwa Wateja na Wadau...

KUKUA KWA TEKNOLOJIA KUTASAIDIA KUONGEZA TIJA NA USHINDANI WA BIASHARA

Na Hughes Dugilo, DaresSalaam. KUKUA kwa Teknolojia katika Sekta ya TEHAMA na uwepo wa akili mnemba (IA), kutasaidia kuongeza tija na ushindani wa Biashara...