WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAIOMBA SERIKALI TOZO ZOTE ZA MIZIGO KUISHIA BANDARINI Dar es salaam JUMUIYA ya wafanyabiashara Kariakoo wamemuomba Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutoa maelekezo kwa...

TRADE MARK AFRIKA KUENDELEA KUTEKELEZA MIRADI NCHINI

Na Saidina Msangi,Dodoma. NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Amina Khamis Shaaban, ameongoza Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC)...

WATANZANIA TUMIENI FURSA MAONESHO YA 48 YA SABA SABA

Dar es Salaam WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa Watanzania kushirikiMaonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Dar es...

DK.JAFO KILA MKOA KUANZISHA KIWANDA.

Dodoma WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk.Selemani Jafo ameiagiza Mikoa yote Tanzania Bara kuanzisha viwanda ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Programu ya Viwanda...

SERIKALI KUZINDUA SERA MPYA YA BIASHARA

Na Esther Mnyika, Dar es salaam SERIKALI inatarajia kuzindua Sera mpya yaTaifa ya Biashara ya 2003 Toleo la 2023 yenye dhamira ya kuweka mfumo...

SHILINGI BILIONI 108.43 KUWEZESHA UANZISHAJI, UENDELEZAJI VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI – DK. BITEKO

📌 Mwananchi Communications Ltd yapongezwa kwa ubunifu 📌 Kongamano la Wajasiriamali wadogo na wa kati kuibua fursa (MSMEs) Dar es Salaam SERIKALI kupitia Benki ya Maendeleo...

MAMA NA BABA LISHE WA SOKO LA SAMAKI FERI KUFUNGIWA MTAMBO WA GESI YA...

Na Esther Mnyika NAIBU Spika wa Bunge, Azzan Zungu, amewahakikishia Mama Lishe na Baba lishe katika Soko la Samaki la Kimataifa Feri kuwa watafungiwa...

MKURUGENZI NIC WAWEKEZAJI WANAPASWA KUKATA BIMA ZA BIASHARA

Dar es Salaam MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Taifa la Bima (NIC) Kaimu Abdi amesema kufuatia uwekezaji unaondela nchini wawekezaji wanapaswa kukata bima za...

BRELA YATOA ELIMU YA MILIKI UBUNIFU , WIKI YA ELIMU, UJUZI NA UBUNIFU.

Na Boniface Gideon -TANGA WAKALA wa Biashara na Leseni (BRELA) wameendesha zoezi la kutoa Elimu ya alama Miliki Ubunifu Bunifu kwa Wateja na Wadau...

TANTRADE YAPOKEA VIFAA MBALIMBALI VYA BILIONI MOJA

Na Esther Mnyika Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Nchini (TANTRADE) wamepokea msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi wao kutoka mamlaka...