MAROBOTI YAWA KIVUTIO SABASABA
Dar es Salaam
IKIWA zimebaki siku mbili kufungwa kwa maonesho 48 ya biashara kimataifa maarufu kama Sabasaba miongoni mwa vitu ambavyo vimekuwa kivutio ni pamoja...
SAGCOT :PARACHICHI LINALOLIMWA NCHINI LINA THAMANI NJE YA NCHI
Dodoma
TAAASISI Inayojihusisha na Mpango wa Kukuza Kilimo Ukanda wa Kusini Mwa Tanzania (SAGCOT) imesema zao la parachichi linalolimwa hapa nchini lina ubora...
DK.JAFO KILA MKOA KUANZISHA KIWANDA.
Dodoma
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk.Selemani Jafo ameiagiza Mikoa yote Tanzania Bara kuanzisha viwanda ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Programu ya Viwanda...
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA ATOA RAI WAFANYABIASHARA KUFUNGUA MADUKA.
Dar es Salaam
MWENYEKITI waJumuiya ya Wafanyabiashara Soko la Kimataifa la Kariakoo, Martin Mbwana ametoa rai kwa wafanyabiashara kufungua maduka yao na kuendelea kufanyakazi...
MKEYENGE : UELEWA WA WATANZANIA KUHUSU ELIMU YA BIMA NI ASILIMIA MBILI
Dar es Salaam
MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Taifa la Bima (NIC), Kaimu Mkeyenge amesema wananchi wa Tanzania wana uelewa wa asilimia mbili tu...
TCB BENKI KUUNGA MKONO MALENGO YA RAIS DK.SAMIA KWA KUTOA KIASI CHA SHILINGI BILIONI...
Dar es Salaam
BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imejizatiti kuunga mkono malengo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ya kukuza uchumi nchini kwa kutoa...
SERIKALI KUZINDUA SERA MPYA YA BIASHARA
Na Esther Mnyika, Dar es salaam
SERIKALI inatarajia kuzindua Sera mpya yaTaifa ya Biashara ya 2003 Toleo la 2023 yenye dhamira ya kuweka mfumo...
WAVUVI WA MUSOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI MIKOPO NAFUU YA DK.SAMIA YA UVUVI WA VIZIMBA
Na Shomari Binda-Musoma
WAVUVI katika jimbo la Musoma vijijini wameishukuru serikali chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa mikopo nafuu kwaajili ya uvuvi wa vizimba.
Shukrani...
AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAWATOA HOFU WATEJA WAKE KARIAKOO.
Dar es Salaam
AKIBA Commercial Banki imeendelea kujitoa si tu kuhudumia wateja wake bali pia kushiriki katika juhudi za kijamii wakati wa dharura na...