DK. BITEKO ATAKA MITAALA VYUONI IENDANE NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA
📌Azindua dira ya miaka 50 ya CBE (2025 - 2075)
📌Asisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa, zinazojibu changamoto za jamii
📌Taasisi za elimu ya juu zatakiwa...
TACTIC KUONGEZA THAMANI YA MAZAO KWA WAKULIMA WA RUKWA.
Rukwa
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dk. Festo Dugange amesema ujenzj wa soko kuu la...
BoT YAZIFUNGIA APPLICATION “69 ZA MIKOPO MITANDAONI
Dar es Salaam
BENKI Kuu ya Tanzania(BoT), imetoa orodha ya ‘Applications’ 69 zinazotoa mikopo ya fedha mtandaoni zilizofungiwa kujihusisha na huduma hiyo.
Taarifa iliyotolewa...
AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAWATOA HOFU WATEJA WAKE KARIAKOO.
Dar es Salaam
AKIBA Commercial Banki imeendelea kujitoa si tu kuhudumia wateja wake bali pia kushiriki katika juhudi za kijamii wakati wa dharura na...
TCB BENKI KUUNGA MKONO MALENGO YA RAIS DK.SAMIA KWA KUTOA KIASI CHA SHILINGI BILIONI...
Dar es Salaam
BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imejizatiti kuunga mkono malengo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ya kukuza uchumi nchini kwa kutoa...
MKEYENGE : UELEWA WA WATANZANIA KUHUSU ELIMU YA BIMA NI ASILIMIA MBILI
Dar es Salaam
MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Taifa la Bima (NIC), Kaimu Mkeyenge amesema wananchi wa Tanzania wana uelewa wa asilimia mbili tu...
WAVUVI WA MUSOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI MIKOPO NAFUU YA DK.SAMIA YA UVUVI WA VIZIMBA
Na Shomari Binda-Musoma
WAVUVI katika jimbo la Musoma vijijini wameishukuru serikali chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa mikopo nafuu kwaajili ya uvuvi wa vizimba.
Shukrani...
DK.JAFO KILA MKOA KUANZISHA KIWANDA.
Dodoma
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk.Selemani Jafo ameiagiza Mikoa yote Tanzania Bara kuanzisha viwanda ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Programu ya Viwanda...
SAGCOT :PARACHICHI LINALOLIMWA NCHINI LINA THAMANI NJE YA NCHI
Dodoma
TAAASISI Inayojihusisha na Mpango wa Kukuza Kilimo Ukanda wa Kusini Mwa Tanzania (SAGCOT) imesema zao la parachichi linalolimwa hapa nchini lina ubora...
SERIKALI KUZINDUA SERA MPYA YA BIASHARA
Na Esther Mnyika, Dar es salaam
SERIKALI inatarajia kuzindua Sera mpya yaTaifa ya Biashara ya 2003 Toleo la 2023 yenye dhamira ya kuweka mfumo...