MAABARA YA MUHIMBILI MLOGANZILA YAPAA KWA UBORA KIMATAIFA
Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara nyingine imepata cheti cha Ithibati ya Ubora Kimataifa kutoka Shirika la Viwango vya Ukaguzi Kimataifa...
WATUMISHI GST WAPATIWA SEMINA YA MAADILI, RUSHWA NA MAGONJWA
Dodoma
WATUMISHI wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) wamepatiwa Mafunzo ya Maadili, Rushwa na Magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza ikiwa ni...
UONGOZI WA MUHIMBILI-MLOGANZILA WAKUTANA NA CHUO KIKUU CHA YONSEI
Dar es Salaam
UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili -Mloganzila umekutana na kufanya mazungumzo na jopo la wataalam kutoka Shule ya Uzamili ya Afya...
MADAKTARI BINGWA WA RAIS DK.SAMIA KUANZA KUTOA MATIBABU MUSOMA KESHO
Na Shomari Binda-Musoma
MADAKTARI bingwa wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan wataanza kutoa huduma za matibabu ya kibingwa kwenye hospital ya manispaa ya Musoma kesho 24...
WACHIMBAJI WA MADINI TUMIENI MAKONGAMANO NA MIKUTANO YA WIKI YA MADINI 2024 KUISHAURI SERIKALI...
Dodoma
RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania FEMATA John Bina amewataka wachimbaji wadogo nchini kuacha kuilalamikia Serikali' badala yake waishauri kuhusu...
DK. MBONEA: JAMII IJITOKEZE KUCHANGIA DAMU KUKIDHI MAHITAJI MKUBWA
Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imetoa wito kwa jamii nchini kujitokeza kuchangia damu ili kukabiliana na uhitaji wa damu uliopo hospitali...
MUHIMBILI MLOGANZILA SULUHISHO LA MATIBABU YA NYONGA NA MAGOTI
Dar es Salaam
MKURUGENZI Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema MNH-Mloganzila imeendelea kuimarisha na kuanzisha huduma mpya za ubingwa bobezi ikiwemo...
WAUGUZI WANAOHUDUMIA WATOTO WENYE SARATANI WAJENGEWA UWEZO MUHIMBILI
Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Taasisi ya Global Hope pamoja na Tumaini la Maisha wameendesha mafunzo kwa wauguzi...
MATUMIZI YA TUMBAKU HUPOTEZA NGUVU KAZI KATIKA JAMII DK. KILIMA
Dar es Salaam
MATUMIZI ya tumbaku katika umri mdogo husababisha athari za mapema za kuzorota kwa afya ya akili, mapafu, ukuaji na mwili mzima...
MIFUMO YA KIDIGITALI KUBORESHA HUDUMA MUHIMBILI
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili iko kwenye hatua mbalimbali za kutumia mifumo ya kidigitali katika baadhi ya maeneo ya kutolea huduma...