KWA MARA YA KWANZA BMH YAPANDIKIZA ULOTO KWA MGONJWA WA SIKOSELI MWENYE KUNDI LA...

Dodoma KWA mara ya kwanza, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imefanya upandikizaji uloto kwa mgonjwa wa sikoseli ambaye anatofautiana kundi la damu na mchangiaji...

Halmashauri 112 kati ya 119 nchini hazina maambukizi mapya ya Matende na Mabusha

Na Mwandishi wetu  Waziri wa Afya,  Ummy Mwalimu amesema nchi imepiga hatua kubwa katika kuhakikisha inatokomeza magonjwa ya matende na Busha kwa kuokoa watu milioni...