MATUMIZI YA TUMBAKU HUPOTEZA NGUVU KAZI KATIKA JAMII DK. KILIMA
Dar es Salaam
MATUMIZI ya tumbaku katika umri mdogo husababisha athari za mapema za kuzorota kwa afya ya akili, mapafu, ukuaji na mwili mzima...
MIFUMO YA KIDIGITALI KUBORESHA HUDUMA MUHIMBILI
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili iko kwenye hatua mbalimbali za kutumia mifumo ya kidigitali katika baadhi ya maeneo ya kutolea huduma...
MUHIMBILI YAPOKEA MSAADA WA MASHINE YENYE THAMANI YA MILIONI 16.9.
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imepokea msaada wa mashine POCUS yenye thamani ya shilingi miloni 16.9 kutoka kwa wafadhili wa...
CHUO CHA UFUNDI FURAHIKA KIMEJIPANGA KUWAKATIA BIMA YA AFYA WANAFUNZI
Na Sophia Kingimali @Lajiji Digital
CHUO cha Ufundi cha Furahika kimejipanga kuwakatia Bima ya Afya wanafunzi wake wanaochukua kozi za mwaka mmoja ili kuwapa...
PROFESA JANABI VIONGOZI WENZANGU TOENI MAAMUZI NA KUTATUA CHANGAMOTO KWA WAKATI
Na Mwandisi wetu@Lajiji Digital
MKURUGENZI Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amewataka viongozi wa hospitali hiyo kutoa maamuzi na kutatua changamoto...
TUNA MKAKATI MAALUM NA COMORO- PROFESA JANABI
Na Mwandishi wetu
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,Prof Mohamed Janabi amesema kuwa wana mkakati maalum wa kutoa huduma za kisada za...
NEMC IMETOA SIKU 90 KWA KUWEKA MIUNDOMBINU SAHIHI KWA TAASISI ZOTE NCHINI...
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
BARAZA la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa siku 90 kwa kuweka miundombinu sahihi kwa taasisi zote...
WEKEZA KATIKA UTAFITI KUCHOCHEA MAENDELEO DK. BITEKO
📌Rais Samia atunukiwa tuzo kwa mchango wake Sekta ya Afya
📌NIMR yapongezwa kwa ushawishi wa utafiti kimataifa
📌Serikali yatoa kipaumbele tafiti za kisayansi
📌Vituo vya utafiti vyaaswa...
BAJETI YA WIZARA YA AFYA YAPITISHWA KWA KISHINDO!
Bunge la Tanzania Limeridhia kwa kishindo kwa asilimia mia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa kuidhinisha jumla ya...
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI GARI YA KUBEBEA WAGONJWA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
Na Mwandishi wetu,Dodoma
HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH) Jijini Dodoma imepokea gari nyingine ya kubebea wagonjwa hivyo kufikisha magari hayo matatu ikiwa ni sehemu...