MGONJWA WA 13 KUPONA SIKOSELI BMH AMSHUKURU MAMA SAMIA
Na Mwandishi wetu
MGONJWA wa 13 kupona ugonjwa wa sikoseli katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Jonester Peleka, mwenye umri wa 10, amemshukuru Rais...
MUHIMBILI MLOGANZILA KUENDELEA KUTOA MATIBABU YA UPANDIKIZAJI WA NYONGA NA MAGOTI
Dar es Salaam
MKURUGENZI Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo itaendelea kutoa matibabu ya ubingwa bobezi ikiwemo upandikizaji wa...
WATOA ELIMU YA AFYA KWA NGAZI YA JAMII KUHUSU UGONJWA MPYA WA MPOX
Mwanza
WAHUDUMU wa Afya ngazi ya jamii wameaswa kutoa elimu kwa umma kufahamu namna ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa Mpox uliotangazwa hivi karibuni na...
MOI YAADHIMISHA MIAKA 20 YA UPASUAJI WA NYONGA NA MAGOTI
Dar es Salaam
TAASISI Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inaadhimisha miaka 20 ya mafanikio ya matibabu ya upasuaji wa nyonga na magoti...
MAGWIJI WA TIBA RADIOLOJIA DUNIANI WAKUTANA MUHIMBILI KUJADILI MBINU ZA KUONGEZA WIGO WA HUDUMA...
Dar es Salaam
MAGWIJI wa tiba radiolojia duniani ambao hutumia vifaa kama vile CT-Scan, MRI, Xray, Angiography system, Utrasound n.k kufanya uchunguzi na kutibu...
ASKARI KATA YA KISANGURA AMSHUKURU MGANGA MFAWIDHI HOSPITAL YA SERENGETI KUSAIDIA JAMII
Na Shomari Binda-Serengeti
ASKARI poiisi Kata wa Kata ya Kisangura iliyopo wilayani Serengeti mkoani Mara Genuine Kimario amemshukuru mganga mfawidhi wa hospital ya wilaya hiyo...
HISTORIA YAANDIKWA, WAGONJWA WA KIHARUSI WAFANYIWA UPASUAJI BILA KUFUNGUA FUVU KWA MARA YA KWANZA...
Dar es Salaam
KWA mara ya kwanza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya upasuaji wagonjwa 11 wenye kiharusi na magonjwa...
RAIS SAMIA ALIPIA WASIOWEZA GHARAMA UPANDIKIZAJI FIGO
Dar es Salaam
WAGONJWA wenye changamoto ya figo wanaohitaji kupandikizwa figo ambayo ni tiba stahiki kwa wagonjwa wanaosafisha damu na hawana uwezo wa kulipia...
HOSPITALI YA TEMEKE YAZINDUA KITUO CHA KUSAFISHIA DAMU NA MAGARI MAWILI PAMOJA NA VIFAA...
Dar es salaam
WANANCHI wameendelea kuhimizwa kufanya Mazoezi kwa bidii na kupunguza hali ya ulaji wa vyakula usiofaa ili kusaidia kuepukana na Magonjwa yasiyo ya...