HAKUNA MGONJWA ANAYEBEBWA KWENYE TENGA TUNDURU – MCHENGERWA

Ruvuma WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema hakuna mgonjwa anayesafirishwa kwa njia ya...

ZAHANATI MPYA 17 ZAENDELEA KUJENGWA KWA KASI JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

Na Shomari Binda-Musoma JUMLA ya zahanati 17 zinaendelea kujengwa kwa kasi ndani ya jimbo la Musoma vijijini ili kutoa huduma za afya Taarifa iliyotolewa leo septemba...

MARATHON NI MPANGO MKAKATI WA KUJENGA AFYA ZA WATANZANIA – MAJALIWA

Lindi WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema marathon zinazofanyika kila kona nchini ni mpango mkakati wa kuwafanya Watanzania wawe na afya njema na wakae pamoja ili...

WAZIRI MHAGAMA AIPONGEZA MOI KWA KUPUNGUZA IDADI YA WAGONJWA KUTIBIWA NJE YA NCHI.

Dar es Salaam WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama ameipongeza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo muhimbili (MOI) kwa kupunguza idadi ya wagonjwa wa...

KIKOSI CHA AFYA JESHI LA POLISI KIMEZINDUA KAMPENI YA KUPIMA AFYA BURE KATIKA MAADHIMISHO...

Dar es Salaam KAMISHNA Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Abdallah Mpallo amesema jamii ijitokeze kupima afya kwenye kambi zinazokuwa kimeandaliwa ili kuikomboa afya...

WATOTO 23 AKIWEMO WA UMRI WA SIKU TATU WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO

Dar es Salaam WATOTO 23 akiwemo wa umri wa siku tatu wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo katika...

WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEONGEZA WIGO HUDUMA ZA WATOTO WACHANGA

Dar es Salaam WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanya mageuzi makubwa kwa kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma kwa watoto wachanga. Ameyasema hayo leo...

NIC YAIGUSA IDARA YA WATOTO MUHIMBILI KWA MSAADA WA MILIONI 20.

Dar es Salaam HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa vifaa tiba, fenicha pamoja na ukarabati wa kliniki ya watoto wenye thamani ya...

KILA MWAKA WATOTO 7500 HUZALIWA NA MATATIZO MBALIMBALI IKIWEMO VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI

Dar es Salaam TAKWIMU za Wizara ya Afya zinaonyesha kila mwaka watoto 7500 huzaliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo...

MUHIMBILI YAANZA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI REKEBISHI

Dar es Salaam HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH)imeanza kambi maalum ya upasuaji rekebishi (Reconstructive Surgery) kwa kushirikiana na wataalam bingwa kutoka San Francisco Marekani. Kambi...