MADAKTARI BINGWA WA NYONGA KUTOKA INDIA KUFANYA UPASUAJI WA MAGOTI NA NYONGA DAR
ยท Ni matunda ya ziara ya Rais Samia India
ยท Wagonjwa nje ya nchi sasa kumiminika kutibiwa hospitali za Tanzania
Na Mwandishi Wetu
DAKTARI bingwa wa upasuaji...
WAZAZI WAMSHUKURU RAIS, WATOA HUDUMA, VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE
Dar es Salaam
MTOTO Maliki Hashimu, mkazi wa Goba Jijini Dar es Salaam, aliyekuwa akitibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na majeraha makubwa...
MADAKTARI WA RAIS SAMIA WALIVYO IBUA MAKUBWA KWENYE HALMASHAURI 184
Dar es Salaam
ZOEZI la utoaji wa huduma za kibingwa kwenye Hospitali 184 ngazi ya Halmashauri kupitia mpango kabambe wa "Madaktari bingwa wa Dkt....
PROFESA ASSAD AONGOZA KONGAMANO TATHMINI UJENZI HOSPITALI YA KIISLAMU MKOA TANGA.
Na Boniface Gideon -Tanga
ALIYEKUWA Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),Profesa Mussa Assad leo Agosti 5 ameongoza kongamano la tathmini ya ujenzi...
TLS YATAKIWA KUSIMAMIA HAKI NA AMANI KUCHOCHEA MAENDELEO
๐ Dk. Biteko amwakilisha Rais Samia kufungua Mkutano Mkuu 2024
๐ Awataka Mawakili kuchaguana kwa haki
๐ Wananchi zaidi ya 7358 wamefikiwa na TLS kupata huduma
๐...
WANAFUNZI WA AFYA 25,390 WADAHILIWA KUPUNGUZA UHABA WA WATUMISHI
Dar es Salaam
SERIKALI imeongeza udahili wa wanafunzi wa Taaluma za Afya ngazi ya kati, kutoka wanafunzi 20,030 mwaka 2020 hadi kufikia wanafunzi 25,390...
KWA MARA YA KWANZA BMH YAPANDIKIZA ULOTO KWA MGONJWA WA SIKOSELI MWENYE KUNDI LA...
Dodoma
KWA mara ya kwanza, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imefanya upandikizaji uloto kwa mgonjwa wa sikoseli ambaye anatofautiana kundi la damu na mchangiaji...
TAASISI YA BENJAMIN MKAPA IMEJIKITA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA RASILIMALI WATU
Dar es Salaam
TAASISI ya Benjamini Mkapa kwa kushirikiana na Serikali imejikita katika kutatua changamoto za rasilimali watu Sekta ya Afya kwa kuajiri watumishi wa...
ASILIMIA 50 YA WATUMISHI WANAHITAJIKA MIKOA YA PEMBEZONI
Dar es Salaam
WATUMISHI wa Afya nchini wametakiwa kwenda kufanya kazi katika Halmashauri za pembezoni mwa nchi ili kupunguza uhaba wa wataalamu hao unaokadiriwa kuwa...