RAIS SAMIA ALIPIA WASIOWEZA GHARAMA UPANDIKIZAJI FIGO

Dar es Salaam WAGONJWA wenye changamoto ya figo wanaohitaji kupandikizwa figo ambayo ni tiba stahiki kwa wagonjwa wanaosafisha damu na hawana uwezo wa kulipia...

MADAKTARI BINGWA WA RAIS DK.SAMIA KUANZA KUTOA MATIBABU MUSOMA KESHO

Na Shomari Binda-Musoma MADAKTARI bingwa wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan wataanza kutoa huduma za matibabu ya kibingwa kwenye hospital ya manispaa ya Musoma kesho 24...

MAABARA YA MUHIMBILI MLOGANZILA YAPAA KWA UBORA KIMATAIFA

Dar es Salaam HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara nyingine imepata cheti cha Ithibati ya Ubora Kimataifa kutoka Shirika la Viwango vya Ukaguzi Kimataifa...

MAGWIJI WA TIBA RADIOLOJIA DUNIANI WAKUTANA MUHIMBILI KUJADILI MBINU ZA KUONGEZA WIGO WA HUDUMA...

Dar es Salaam MAGWIJI wa tiba radiolojia duniani ambao hutumia vifaa kama vile CT-Scan, MRI, Xray, Angiography system, Utrasound n.k kufanya uchunguzi na kutibu...

MSD WAMEKUBALIANA KUSHIRIKIANA NA BOHARI YA DAWA YA SIERRA LEONE

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital BOHARI Kuu ya Dawa Nchini (MSD) wamekubaliana kushirikiana na Bohari ya Dawa ya Sierra leone kubadilishana taarifa za utendaji ili...

DK. MBONEA: JAMII IJITOKEZE KUCHANGIA DAMU KUKIDHI MAHITAJI MKUBWA

Dar es Salaam HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imetoa wito kwa jamii nchini kujitokeza kuchangia damu ili kukabiliana na uhitaji wa damu uliopo hospitali...

MIFUMO YA KIDIGITALI KUBORESHA HUDUMA MUHIMBILI

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital HOSPITALI ya Taifa Muhimbili iko kwenye hatua mbalimbali za kutumia mifumo ya kidigitali katika baadhi ya maeneo ya kutolea huduma...

WAZIRI MHAGAMA AIPONGEZA MOI KWA KUPUNGUZA IDADI YA WAGONJWA KUTIBIWA NJE YA NCHI.

Dar es Salaam WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama ameipongeza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo muhimbili (MOI) kwa kupunguza idadi ya wagonjwa wa...

ENDELEENI KUWAHAMASISHA WANANCHI WAEPUKE TABIA ZEMBE – MAJALIWA

Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Afya iendelee kuwahamasisha wananchi wabadili mitindo ya maisha ili kuepuka tabia zembe zinazochochea ongezeko la magonjwa...

WANAFUNZI WA AFYA 25,390 WADAHILIWA KUPUNGUZA UHABA WA WATUMISHI

Dar es Salaam SERIKALI imeongeza udahili wa wanafunzi wa Taaluma za Afya ngazi ya kati, kutoka wanafunzi 20,030 mwaka 2020 hadi kufikia wanafunzi 25,390...