WACHIMBAJI WA MADINI TUMIENI MAKONGAMANO NA MIKUTANO YA WIKI YA MADINI 2024 KUISHAURI SERIKALI...

Dodoma RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania FEMATA John Bina amewataka wachimbaji wadogo nchini kuacha kuilalamikia Serikali' badala yake waishauri kuhusu...

TATUENI KERO ZA WATUMISHI WA AFYA KATIKA HALMASHAURI ZENU’ DK. MAHERA

Kigoma NAIBU Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais - TAMISEMI Dk. Charles Mahera amewaelekeza Makatibu wa Afya Mikoa na Halmashauri nchini kufuatilia, kushughulikia na...

MAABARA YA MUHIMBILI MLOGANZILA YAPAA KWA UBORA KIMATAIFA

Dar es Salaam HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara nyingine imepata cheti cha Ithibati ya Ubora Kimataifa kutoka Shirika la Viwango vya Ukaguzi Kimataifa...

MUHIMBILI NA AbbVie KUBORESHA HUDUMA ZA UTOAJI GANZI NA ICU ZA WATOTO

Na Beatrice Mushi-MNH HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imeendelea kuboresha utoaji huduma ya dawa za usingizi na ganzi pamoja na dawa za kusaidia kukomaza mapafu...

WAZIRI MKUU ASHIRIKI KAMPENI YA KITAIFA YA MAZOEZI YA WIZARA YA AFYA.

Aungana na wakazi Dar kufanya mazoezi Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameshiriki mazoezi ya pamoja ya kampeni ya kitaifa inayoratibiwa na Wizara...

TIMU YA MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA, WAWASILI IRINGA.

Na Mwandishi wetu, Iringa IKIWA ni muendelezo wa utekelezaji wa dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha sekta ya afya na...

MUHIMBILI MLOGANZILA SULUHISHO LA MATIBABU YA NYONGA NA MAGOTI

Dar es Salaam MKURUGENZI Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema MNH-Mloganzila imeendelea kuimarisha na kuanzisha huduma mpya za ubingwa bobezi ikiwemo...

PROFESA ASSAD AONGOZA KONGAMANO TATHMINI UJENZI HOSPITALI YA KIISLAMU MKOA TANGA.

Na Boniface Gideon -Tanga ALIYEKUWA Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),Profesa Mussa Assad leo Agosti 5 ameongoza kongamano la tathmini ya ujenzi...

MADAKTARI WA RAIS SAMIA WALIVYO IBUA MAKUBWA KWENYE HALMASHAURI 184

Dar es Salaam ZOEZI la utoaji wa huduma za kibingwa kwenye Hospitali 184 ngazi ya Halmashauri kupitia mpango kabambe wa "Madaktari bingwa wa Dkt....

TUNA MKAKATI MAALUM NA COMORO- PROFESA JANABI

Na Mwandishi wetu MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,Prof Mohamed Janabi amesema kuwa wana mkakati maalum wa kutoa huduma za kisada za...