HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TEMEKE YAIMARISHA HUDUMA KWA KUPOKEA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA

Dar es Salaam HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa Temeke (TRRH) imepokea rasmi magari mawili ya kubeba wagonjwa, ambayo yamezinduliwa na Mbunge wa Jimbo la...

SIERRA LIONE WATEMBELEA JKCI KUJIFUNZA NAMNA WALIVOPIGA HATUA KUBWA KATIKA MATIBABU YA MOYO BARANI...

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital TIMU ya wataalamu wa Wizara ya Afya kutoka Sierra Leone, wamefika nchini kujifunza namna ya kuanzisha matibabu ya moyo nchini...

WAUGUZI WANAOHUDUMIA WATOTO WENYE SARATANI WAJENGEWA UWEZO MUHIMBILI

Dar es Salaam HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Taasisi ya Global Hope pamoja na Tumaini la Maisha wameendesha mafunzo kwa wauguzi...

MADAKTARI BINGWA WA RAIS DK.SAMIA KUANZA KUTOA MATIBABU MUSOMA KESHO

Na Shomari Binda-Musoma MADAKTARI bingwa wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan wataanza kutoa huduma za matibabu ya kibingwa kwenye hospital ya manispaa ya Musoma kesho 24...

WAZIRI UMMY AFUNGUKA MIAKA MITATU YA RAIS DK.SAMIA

Na  Mwandishi wetu  Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan sekta ya afya imeendelea kuwa imara na kusonga mbele...

MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI GARI YA KUBEBEA WAGONJWA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Na Mwandishi wetu,Dodoma HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH) Jijini Dodoma imepokea gari nyingine ya kubebea wagonjwa hivyo kufikisha magari hayo matatu ikiwa ni sehemu...

ZAHANATI MPYA 17 ZAENDELEA KUJENGWA KWA KASI JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

Na Shomari Binda-Musoma JUMLA ya zahanati 17 zinaendelea kujengwa kwa kasi ndani ya jimbo la Musoma vijijini ili kutoa huduma za afya Taarifa iliyotolewa leo septemba...

MATUMIZI YA TUMBAKU HUPOTEZA NGUVU KAZI KATIKA JAMII DK. KILIMA

Dar es Salaam MATUMIZI ya tumbaku katika umri mdogo husababisha athari za mapema za kuzorota kwa afya ya akili, mapafu, ukuaji na mwili mzima...

HOSPITALI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MAGONJWA YA MIFUPA NA...

Na Shomari Binda, Musoma SERIKALI imesema hospital ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyopo mkoani Mara imetengwa kuwa hospital inayotoa huduma za kibingwa magonjwa ya...

WATOA ELIMU YA AFYA KWA NGAZI YA JAMII KUHUSU UGONJWA MPYA WA MPOX

Mwanza WAHUDUMU wa Afya ngazi ya jamii wameaswa kutoa elimu kwa umma kufahamu namna ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa Mpox uliotangazwa hivi karibuni na...