MOI YAADHIMISHA MIAKA 20 YA UPASUAJI WA NYONGA NA MAGOTI

Dar es Salaam TAASISI Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inaadhimisha miaka 20 ya mafanikio ya matibabu ya upasuaji wa nyonga na magoti...

MAGWIJI WA TIBA RADIOLOJIA DUNIANI WAKUTANA MUHIMBILI KUJADILI MBINU ZA KUONGEZA WIGO WA HUDUMA...

Dar es Salaam MAGWIJI wa tiba radiolojia duniani ambao hutumia vifaa kama vile CT-Scan, MRI, Xray, Angiography system, Utrasound n.k kufanya uchunguzi na kutibu...

ASKARI KATA YA KISANGURA AMSHUKURU MGANGA MFAWIDHI HOSPITAL YA SERENGETI KUSAIDIA JAMII

Na Shomari Binda-Serengeti ASKARI poiisi Kata wa Kata ya Kisangura iliyopo wilayani Serengeti mkoani Mara Genuine Kimario amemshukuru mganga mfawidhi wa hospital ya wilaya hiyo...

HISTORIA YAANDIKWA, WAGONJWA WA KIHARUSI WAFANYIWA UPASUAJI BILA KUFUNGUA FUVU KWA MARA YA KWANZA...

Dar es Salaam KWA mara ya kwanza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya upasuaji wagonjwa 11 wenye kiharusi na magonjwa...

RAIS SAMIA ALIPIA WASIOWEZA GHARAMA UPANDIKIZAJI FIGO

Dar es Salaam WAGONJWA wenye changamoto ya figo wanaohitaji kupandikizwa figo ambayo ni tiba stahiki kwa wagonjwa wanaosafisha damu na hawana uwezo wa kulipia...

HOSPITALI YA TEMEKE YAZINDUA KITUO CHA KUSAFISHIA DAMU NA MAGARI MAWILI PAMOJA NA VIFAA...

Dar es salaam WANANCHI wameendelea kuhimizwa kufanya Mazoezi kwa bidii na kupunguza hali ya ulaji wa vyakula usiofaa ili kusaidia kuepukana na Magonjwa yasiyo ya...

MADAKTARI BINGWA WA NYONGA KUTOKA INDIA KUFANYA UPASUAJI WA MAGOTI NA NYONGA DAR

· Ni matunda ya ziara ya Rais Samia India · Wagonjwa nje ya nchi sasa kumiminika kutibiwa hospitali za Tanzania Na Mwandishi Wetu DAKTARI bingwa wa upasuaji...

WAZAZI WAMSHUKURU RAIS, WATOA HUDUMA, VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE

Dar es Salaam MTOTO Maliki Hashimu, mkazi wa Goba Jijini Dar es Salaam, aliyekuwa akitibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na majeraha makubwa...

MADAKTARI WA RAIS SAMIA WALIVYO IBUA MAKUBWA KWENYE HALMASHAURI 184

Dar es Salaam ZOEZI la utoaji wa huduma za kibingwa kwenye Hospitali 184 ngazi ya Halmashauri kupitia mpango kabambe wa "Madaktari bingwa wa Dkt....