WENYE MATATIZO YA MACHO WAENDELEA KUPATIWA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wenye matatizo ya macho mkoani Mara wameendelea kupata matibabu kutoka kwa madaktari bingwa kwenye hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Pia huduma...
TAMA KWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI,UNFPA NA CHAMA CHA WAKUNGA CANADA WAMEANDAA MAFUNZO MAALUM YA...
Na Esther Mnyika, @lajiji.co.tz
CHAMA Cha Wakunga Tanzania (TAMA) kwa kushirikiana na serikali ,UNFPA na Chama cha Wakunga Canada wameanda mafunzo maalumu ya huduma...
MOI YAANZA RASMI KUFANYA UPASUAJI WA UTI WA MGONGO KWA NJIA YA MATUNDU
Dar es Salaam
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza rasmi kutoa huduma mpya za upasuaji uti wa mgongo kwa kutumia...
WAGONJWA 12 KUFANYIWA UPASUAJI WA MGONGO KWA KUTUMIA MATUNDU MADOGO WAKATI WA KAMBI MAALUM...
Dar es Salaam
WAGONJWA 12 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa mgongo kwa kutumia teknolojia mpya ya upasuaji kwa matundu madogo (Spine Endoscope) katika Taasisi ya...
WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM WAPATA ELIMU YA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI VIPAUMBELE
Dar es Salaam
TIMU ya Wataalamu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele (NTDCP) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani...
WATUMISHI MOI WAPIGWA MSASA KANUNI ZA MAADILI YA UTENDAJI KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Dar es Salaam
WATUMISHI wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamekumbushwa kuzingatia kanuni za maadili ya utendaji katika utumishi wa...
RADIAN LIMITED YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA MAHITAJI YA KIJAMII KWA WAGONJWA MOI
Dar es Salaam
SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Radian Limited kupitia kitengo chake cha Radian for Development limetoa msaada wa vifaa tiba, mahitaji ya...
MOI YAWAOMBA WATANZANIA KUJITOKEZA KUCHANGIA DAMU
Dar es Salaam
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imewaomba Watanzania kujitokeza katika Taasisi hiyo kwa ajili ya kuchangia damu ili...
MAABARA YA MOI YATUNUKIWA CHETI CHA ITHIBATI CHA UBORA WA KIMATAIFA
Dar es Salaam
MAABARA ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetunukiwa cheti cha Ithibati cha ubora wa kimataifa cha utoaji...
NDUGU WA WAGONJWA WARIDHISHWA NA HUDUMA ZA MOI, WAOMBA HOSPITALI ZA WILAYA WAIGE MFANO
Dar es Salaam
NDUGU wa wagonjwa wameeleza kuridhishwa kwao na huduma za matibabu zinazotolewa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) na kushauri...