SIERRA LIONE WATEMBELEA JKCI KUJIFUNZA NAMNA WALIVOPIGA HATUA KUBWA KATIKA MATIBABU YA MOYO BARANI...
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
TIMU ya wataalamu wa Wizara ya Afya kutoka Sierra Leone, wamefika nchini kujifunza namna ya kuanzisha matibabu ya moyo nchini...
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA SARATANI NCHINI- DK. BITEKO
📌 Azindua Kituo cha Matibabu ya Saratani cha Aga Khan
📌 Ataka utoaji huduma usiwe wa kibaguzi
📌 Aelekeza Aga Khan kushirikiana na Taasisi ya Ocean...
MSD WAMEKUBALIANA KUSHIRIKIANA NA BOHARI YA DAWA YA SIERRA LEONE
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
BOHARI Kuu ya Dawa Nchini (MSD) wamekubaliana kushirikiana na Bohari ya Dawa ya Sierra leone kubadilishana taarifa za utendaji ili...
TUSIWATENGE WALA KUWANYANYAPAA WATOTO WENYE USONJI – MAJALIWA
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii ya Watanzania kuacha kuwanyanyapaa watoto na watu wanaoishi na Usonji, magonjwa ya...
HOSPITALI YA MUHIMBILI YAPOKEA MASHINE MAALUMU KWAAJILI YA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MATITI
 Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili(MNH) imepokea mashine maalumu Mammography aina ya Senographe Pristina 3D yenye thamani ya milioni 800 kwaajili ya...
MDAU WA MAENDELEO NDUGU JOSEPH MUSHI ALIYEJENGA ZAHANAT KIBOSHO AIKOSHA SERIKALI YA CCM
MDAU WA MAENDELEO NDUGU JOSEPH MUSHI ALIYEJENGA ZAHANAT KIBOSHO AIKOSHA SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
Na Ashrack Miraji, Same
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...
HOSPITALI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MAGONJWA YA MIFUPA NA...
Na Shomari Binda, Musoma
SERIKALI imesema hospital ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyopo mkoani Mara imetengwa kuwa hospital inayotoa huduma za kibingwa magonjwa ya...
DKT. BITEKO AAGIZA MPANGO MKAKATI KUIMARISHA HUDUMA AFYA YA MSINGI
📌Asisitiza kutoa elimu ya afya kwa jamii
📌Aupongeza Mfumo wa M-mama uliobuniwa na Watanzania
📌Jumla ya vituo 2,799 vimejengwa na vingine kufanyiwa ukarabati kuanzia mwaka 2017...
DK.MPANGO AMEMUAGIZA WAZIRI WA TAMISEMI KUTAMA TIMU WATALAAMU KUCHUNGUZA HOSPITALI
Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro
MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
SHILINGI TRILIONI 1.4 KUTUMIKA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MALARIA, UKIMWI NA KIFUA KIKUU
Na Mwandishi wetu, Dodoma
SERIKALI ya Tanzania imepokea jumla ya dola za kimarekani milioni 602 sawa na trilioni 1.4 za kitanzania kwa ajili ya...